madia madia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2017
- 717
- 703
Tatizo unaongea sana na unajiona unajua kila kitu. Kikubwa zaidi unajiona we ni mzuri na kwa sababu ya kuwa selective taarifa zishasambaa. Una choice mbili ubadilike au uhamie eneo jingine. Wanaume hawapendi MTU mjuajiKichwa chatopic kinajieleza, ni mzuri najijua though si wa kutisha, nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo, am dark skin, sio mrefu ila nimempita urefu Lulu Michael kidogo. Shida ni nini?
Yes am overconfident, ila sidhani hiyo ni sababu, Am smart kichwani hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea?
Nakubali mimi ni antisocial ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back, now nimeacha. And am just 23, whats wrong with me? Nikaoge baharini au?
Embu nifarijini guys.
Si umesema umeacha kuwa selective? Mbona Bado upo hivyo hivyo? Kwani wa mtandao sio wanaume?me nahitaji ushauri tu,sio mwanaume,esp wa mitandaoni,no
Jamani hata kama ungekuwa ni Wewe unakutana na msichana kafanana na baba yake halafu baba yake ndo "mimi" au "Tyson wa Tz" naamini usingemtongozakwani wenye sura ya kiume hawatongozwi jamani? teh nimecheka kwa nguvu ujue
Anza na mimime siwezi na sijaona wa kumtongoza
A mtu ana kivutio chake, anaweza kufanana na baba ake halafu usichomoke hapoJamani hata kama ungekuwa ni Wewe unakutana na msichana kafanana na baba yake halafu baba yake ndo "mimi" au "Tyson wa Tz" naamini usingemtongoza
Sasaa unachotaka nn??? Kama hujaona wa Kumtongoza maan yake amna atakayekutongoza ukamkubalia!! Unachotaka we n attention 2uu. Muda mwngne kuwa mwanamke mzur co xabab kila mwanaume akupapatikie. ....me siwezi na sijaona wa kumtongoza
Kichwa chatopic kinajieleza, ni mzuri najijua though si wa kutisha, nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo, am dark skin, sio mrefu ila nimempita urefu Lulu Michael kidogo. Shida ni nini?
Yes am overconfident, ila sidhani hiyo ni sababu, Am smart kichwani hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea?
Nakubali mimi ni antisocial ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back, now nimeacha. And am just 23, whats wrong with me? Nikaoge baharini au?
Embu nifarijini guys.
thats nat true,am fuckin pretty and i know it ndomana am asking whats wrong with me
Naomba ni dm nianze kukufariji jioni baada ya kazi za ofcnKichwa chatopic kinajieleza, ni mzuri najijua though si wa kutisha, nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo, am dark skin, sio mrefu ila nimempita urefu Lulu Michael kidogo. Shida ni nini?
Yes am overconfident, ila sidhani hiyo ni sababu, Am smart kichwani hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea?
Nakubali mimi ni antisocial ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back, now nimeacha. And am just 23, whats wrong with me? Nikaoge baharini au?
Embu nifarijini guys.
Mkuu mwakidila sokon njia panda ya mwamban kwema hukooooo?Nimeanza kugundua matatizo yako umeulizwa kwa lugha ya taifa unaleta mbwembwe
Aisee umebuni vizuri tangazo lako aiseeKichwa chatopic kinajieleza, ni mzuri najijua though si wa kutisha, nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo, am dark skin, sio mrefu ila nimempita urefu Lulu Michael kidogo. Shida ni nini?
Yes am overconfident, ila sidhani hiyo ni sababu, Am smart kichwani hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea?
Nakubali mimi ni antisocial ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back, now nimeacha. And am just 23, whats wrong with me? Nikaoge baharini au?
Embu nifarijini guys.
Weka picha yako tukuone kwanza, then ndo tukushauri cha kufanyaKichwa chatopic kinajieleza, ni mzuri najijua though si wa kutisha, nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo, am dark skin, sio mrefu ila nimempita urefu Lulu Michael kidogo. Shida ni nini?