Sitongozwi, nini tatizo?

Jifunze kuandika vyema kwanza. Uandishi wako hau reflect u smart wako.
 
Umejiita mwenyewe "am dark skin" Ila angeongea Trump mapovu yangewatoka hadi musababishe mafuriko.
 
Tatizo lako limepata muafaka.
Ni pm usiwaze juu ya hilo nitakutongoza na nitakupa kile watongozwao wanachopata
 
unaanza kupata KICHAA kama hujui..............dalili ya kuwa kichaaa
 
".....Yes am overconfident, ila sidhani hiyo ni sababu, Am smart kichwani hadi mwilini..."

Overrated
 
why uctongoze na wewe best eh do it
 
Tongozo ni bonge la psycho therapy kwa dadaz so najua maumivu unayo yapata,mwananmke hatakiwai kuwa over confident na anti social wewe utaona ni kawaida ila sio kawaida,wavutie wanaume wakutongoze,wanasema siku zote mwanamke ndio huanza kumtongoza mwanaume,mwanaume kusema dada nakupenda huwa anafanya finishing tu ya kila ambacho mwanamke amesha kianzisha
Ukitaka wawekezji waje nchini kwako ,weka mazingira mazuri ya kuwaamasisha waje wawekeze
 
Vipi ushaolewa? Kama bado ni PM waoaji tupo
 
Unaishi wapi ktk dunia hii ilioumbwa na Mungu au hapa Tanzania unaishi wapi?but nitasema chochote ukiisha Nijibu
 
Mwanamke sio sura hata Mbuzi anayo, mwanamke sio shape ,mwanamke tabia njema, je unayo au wajisifia tu sura,shape,sijui uko smart
 
Kama wako uliwaonjesha basi ni wazi kua hajaridhishwa na mzigo wako, kamulia limao papuchi ijirudi
 
Vipi yule mvulana wako uliyesoma nae chuo?? Hakutoshi au ndo umeamua kutangaza biashara ya papa bin nguru ili wazee wenye pesa zao wabebe zigo hilo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…