SItokaa nitembee na wanawake hovyo

SItokaa nitembee na wanawake hovyo

Mnapataga ujasiri upi kulala na mtu humjui kabisa??
Kumjua utamjuaje mkuu? Si mpaka muonane mjuane hapohapo na maisha yaendelee.Mshauri aache tu kuzurura atapata mabalaa zaidi ya hayo
 
Punguza wenge mkuu,kama malaya umempenda na unataka uwe unachakata muda mrefu usimnunue siku ya kwanza,HatA wao ni kama wanawake wa mtaani ila Kuna vitu wanakosa kwakua Kila ànaenda ànaenda kumnunua direct...

Labda kama ni Hawa wanaojiuza barabaran lakini haw wa bar pub casino wanaingika vizuri mpka wanajisahau

Mnunulie Savannah zake 4 muachie chenji halafu chukua namba pita hivi
mbinu zangu hizo
 
In this life there's no thing called Mkosi .

Ukiona unapata hasara ujue Kuna sababu na sio kulala na wanawake .

Mambo hayamtokei MTU ila hutokea kwa ajili ya MTU and that's life .
 
Back
Top Bottom