Mbona wewe tofauti ya tens tu unalalamika?
wengine tofauti ya thousands hawaoni ubaya.
...idadi ya 'likes' nilizotoa zilingane na nilizopewa. Haiwezekani mimi niwe wa kutoa kila siku tu, halafu nyie hamnipi. Hebu chungulia mwenyewe hapo kwenye profile yangu.
...manina!
View Profile: Mphamvu - JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Andika basi post la uhakika nikugongee like. Ongea point please.Nyerere alishasema kuwa wanaofanana ni wafu. Acha nilalamike bibie, wasilalamika wana yao.
Hahahahaha, mchoyo huyooooooo! lolAah Mwali taratibu...
Wengine tunahusika hapo...
Ha ha ha haaaaaaaa!!! Haya punguza hasira mkuu. Nimeshakugongea moja.
na wewe msomi wangu weka mambo
vizuri acha uchoyo mkuu.
Like zinatokana na watu kupendezwa na ulichoandika...km ukiandika pumba nani ata like? Jichunguze then chukua hatua...
Mi leo ntakupa like 5 kwa kuitoa avatal yako...
Hili nalo neno, mkuu nimefuatilia watu wengi wana log in kwa kutumia simu hivyo kujikuta wanatumia sana mobile version ambayo haina option au kitufe cha like.
Halafu kuna kasumba ya baadhi ya members fulani kutowapa like wenzao hata wataongea jambo gani la maana. Hii inaongezwa na ujuani wa JF members hasa wale maarufu!!!
Mkuu kama wewe ni kajamba nani kama mimi lia tu ucheke huna mbavu kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeh!!!!!
Andika basi post la uhakika nikugongee like. Ongea point please.
zamani nilikuwa napost pumba.
Ila siku hizi nimejirekebisha, natema point kama mjukuu wa Nyerere vile.
I swear...