UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,017
- Thread starter
- #21
Kwakweli mimi hapo shemeji yenu hana hayo ila sijui sababu kwanini nachepukagaKwa jinsi ulivyomsifia shemeji hukuwa na haja ya kuchepuka. Wenzako wameoa wanawake KERO ukifika nyumbani unatakiwa kujibu maswali kadhaa: leo ulikuwa wapi, mbona hukupokea simu yangu, mshahara wako unapokea lini. Ukiachana na hayo wengine wachafu chumbani na jikoni hutamani kulala kitandani, hutamani kukaa mezani kula chakula. Ukiachana na hilo wengine eti wanabadilisha mboga sasa sijui kuna K yenye vitunguu swaumu nyingine ina samaki, nyingine kuku wa kyenyeji ...mi sijui.