Niliposhindwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano dada yangu (mwalimu) na kakangu (businessman kimataifa) walinitafutia chuo cha MIFUGO NA KILIMO Iringa,nilipata nafasi hiyo na wakanipeleka. Lakin tangu nifike huko mwezi wa kumi 2012,ndugu zangu hawanipigii hata simu mpaka kuna wakati niliugua niliwajuza kwa sms sikuona hata missed call,nikaamua kupiga kwa dada matokeo yake simu ilipokelewa na rafii yake akaniambia ""usimsumbue dada yako ana majukumu nengi''.
Nikasaidiwa na wanafunzi wenzangu. Mwez wa 12 tukafunga tarehe 12, ikiwa niliwajuza pia kwa hili wiki mbili kabla,nikaamza kuomba nauli hawakupiga tena mpaka siku ya kufunga tukafukuzwa shuleni twende makwetu nikaondoka.
Mpaka sasa sijaona simu yao kupigiwa na nina wiki moja sijaenda shulenI nikipiga na kuuma sms hawajibu.
Nifanyeje jamani INANIUMA SANA, naomben ushauri