JUMA KIDEVU
Senior Member
- Jul 4, 2018
- 150
- 309
Watoto wengi wa nje sio halali, Ila Ni wa kubambikizwa.
We jishaue tu, utalea damu sio yako.
Au utajikuta mtoto ana wababa Wawili.
Ana vyeti vya kuzaliwa viwili.
Kuna wanawake wanajua kucheza hizi mambo aisee
We jishaue tu, utalea damu sio yako.
Au utajikuta mtoto ana wababa Wawili.
Ana vyeti vya kuzaliwa viwili.
Kuna wanawake wanajua kucheza hizi mambo aisee