Upo pande zipi Kama upo vizuri kwenye bridge design na unaweza kutumia AUTOCAD kwa speed nenda kafuatilie daraja la WAMI wanahitaji compitent Engineer siyo mbabaishaji kazi Ni nyingi na unatakiwa umalize ndani ya mda mfupi mfano michoro ya Culvert pamoja na details zake zote ndani ya siku mbili uwe umekamlisha.