site bomba kwa wanachuo Tanzania.

site bomba kwa wanachuo Tanzania.

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,426
Reaction score
2,681
Hii ni site ambayo inampa uwezo mwanachuo kuuza au kununua vitu mbalimbali kama simu, radio, laptop, nguo nk mfan; unataka kuuza laptop yako unaingia kwenye site www.choushopping.com afu unaenda uza na kuelezea laptop yako kisha unaweka picha kisha una upload now utasubir baada ya mda tangazo lako litakua mtandaoni wa ajili ya watu kuona na kununa .
 
Back
Top Bottom