Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

Kaka nimekuelewa sana tena sanaaaa ukizingatia psychiatric na mimi nimeisoma najua ni jinsi gani stress zinavyo weza kukuletea Mdhara pi najua ubongo ukiathiriwa kisaikolojia unaweza kukuletea Madhara!

Natambua kuwa katika kile ulicho nishauri umenishauri kulingana na clinical indication za Psychiatric patient ile ya ANY BEHAVIOUR MUST BE CONSIDERED kwa kutumia hio umefikia kuona mimi ni kama psychiatric patient ambaye nimesababishwa na STRESS zilitokana na kuharibika kisaikolojia

Natambua kuwa Everyone ni psychiatric patient katika hii dunia! Lakini mkuu kiukweli mimi nimefikia huo uamuzi kutokana na mambo mengi! Kabla ya kufikia conclusion ulio fikia ilitakiwa mkuu ujiulize je hizo sababu nilizo ainisha hapo juu katika mazingaira ya kawaida zina nguvu kiasi gani na je advanteges za mtu alie oa over ambae hajao inakuwaje na nini umuhimu wake

Yoyote yoyote nashukuru kwa Ushauri kaka
 
Unaweza ukawaza upya jinsi unavyoyachukulia mahusiano hasa ya mume na mke.. It's all about give and take,
Pia find where the true happiness come from itakusaidia sana bro
Ni kweli kaka sahizi ninacho fanya nikiwa buzy na kazii mda wa kazi ukipita naenda kurelax cinemax,club,na sehemu nyingine nikirudi na lala! Yaani najikeep buzy na kuwaepukaa kabisa hawa wadada.......Kazini nawaona wadada wa kila aina! Lakini sina mpango
 
Unaweza kuishi kwa furaha bila mwanamke,mimi siamini kama kuishi na mwanamke kunaleta Furaha yoyote ile katika maisha!
 
So yo wanna be hardcore, mic holder a.k.a microphone murderer huh? If yo decided so, then I have 10 packs of geisha soap. Mr microphone murderer.
 
Uamuz wa busara tu si kila furaha yko ni furaha kwa mwngne,kila mtu anamaamuz yke mi mwnyw cfikirii km me au ke ndo furaha vpo zaid ya hvyo wazazi wngu na ndgu zangu kwa ujumla ni furaha tosha maishan mwngu na nainjoy kuwa karbu nao kuliko mpnz!!!!
 
Kama uwezo unaruhusu, adopt wawili au watatu, utakuwa umesaidia sana watoto wa mitaani!
 
bora kutokuoa kuliko kuwaka tamaa.... ongera zako ...
Ni bora kuoa kuliko kuwaka tamaa. Kama unaweza kuishi bila ya kuoa na ukadhibiti tamaa za mwili fanya hivyo, la sivyo unashauriwa kuoa.
 
Sikulaumu kwa maamuzi uliyoyafanya,mapenzi na ndoa nyingi zimekuwa ni vigelegele na sherehe za mamilioni zinazoishia na makwaruzano na usaliti mkubwa .
Baadhi ya uongo wa sisi wadada unafanya wengine wenye uaminifu kuingia kwenye kundi moja la hao wadada waongo wa mujini.
Pole sana kaka,kama imepangwa utampata wako wa ukweli.
 
kila la kheri...
ila usije ukawaka tamaa wala kupiga nyeto
 
 

Ni kweli kabisa Mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…