Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Endelea kuamini kama wafuasi wa Kibwetele.Ndio usisome, wengine tutasoma. Hata CHADEMA hatutaki uiamini. Sisi tutaendelea kuiamini, na tunamuunga mkono mgombea wetu Lowassa. Siyo watu mnakuja na propaganda za upuuzi kutoka CCM, halafu mnajidai ni wapenzi wa CHADEMA. Tumeshawagundua
Leo nilinunua gazeti la Mawio ili kupata uchambuzi kuhusiana na Chadema kumpokea mkuu wa mafisadi na kumfanya mgombea wa urais kwa tiketi ya Ukawa. Lakini badala yake nimekutana na habari nyingi zinazoonesha kusifia na kutetea uamuzi wa fisadi huyo kuingia Chadema. Nilikuwa naliamini gazeti hili kama nilivyokuwa naiamini Chadema katika mapambano dhidi ya ufisadi. Sasa kuanzia leo sitanunua wala kusoma tena gazeti hili. Siku fisadi alipopokelewa Chadema nilichana kadi yangu ya uanachama na kuitumbukiza chooni! Sitaki kuwa sehemu ya uchafu unaoendelea hivi sasa ndani ya upinzani.
Ingawa mie sie mshabiki wa Lowassa ila mwanachama wa CDM, lazima tutambue kuwa dunia tunamoishi ni dynamic. Ndiyo maana wahubiri wakuu ni Wachungaji wa Kilokole. Mapadre na makasisi wengine kwa sasa hawana mvuto kama hao Wachungaji wa Kilokole kama akina Gwajima et. al. Kwa nini wana mvuto ni kwa sababu ya uhalisia. Kawaida husema walikuwa walevi, wazinzi, majambazi etc na watu wanawaelewa na kuvutiwa nao. Mwisho wanasema kwa sasa wapo huru ndani ya Yesu ambapo sie walevi, wazinzi, majambazi hutaka kuwafuata ili tuwe huru. Kwa Mapadre huwezi kuwa mzinzi ukapata upadre hivyo wanaongelea hisia na si uhalisia wa wawahubirio.Ha hahahahahahahaha! Asante ndugu kwa kujitambua. Mungu hamfichi mnafiki kwa kweli.
Ha hahahahahahahaha! Asante ndugu kwa kujitambua. Mungu hamfichi mnafiki kwa kweli.
Unafiki! Unafiki! Unafiki!
Endelea kuamini kama wafuasi wa Kibwetele.
Ngoja nikalitafute sasa
nalo limeja ujinga mwingi ila ukubali ujinga huo