Monyiaichi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 1,826
- 508
Natambua kuwa maandano ni haki inayominywa na katiba ya sasa hata hivyo katiba mpya haijapatikana. Kama mwana CHADEMA na mwanaharakati,kimsingi naunga mkono dhana ya maandamano hata yasiyo na kibali kama nia na sababu za viongozi na waandamanaji ni moja.
Ilivyo leo nia na sababu za viongozi wa CHADEMA siyo moja na sisi wanachama.
Maoni yangu ni kuwa viongozi wanataka kujenga mgogoro ili wapate fursa ya majadiliano na serikali baada ya watu kuuawa,ama kuumizwa.
Napinga na siwezi kushiriki maandamano haya pia kwa sababu ya tabia za CHADEMA.
1: Inasherehekea vifo na mazishi,na kutelekeza familia za marehemu
2: Majeruhi hutelekezwa na chama
3: Watakaokamatwa,kuwekwa ndani na kushtakiwa,watasota wenyewe na kutiwa gerezani bila msaada wa chama
4: Treatment ya polisi na magereza,ni tofauti.Wanachama hunyanyaswa,wakati viongozi huheshimiwa, hivyo mkikamatwa na Lissu mfano, wakati nyie mnagongwa virungu yeye hagongwi.
5: Sababu ya maandamano haya siyo genuine kwa hiyo maandamano haya lengo na sababu zake siyo valid.

unaleta uharo hapa so what?/
Alipokufa mbwana masoud kule igunga, ni mimi nilipeleka sh laki moja na 80 elfu.zilichangwa na wanachadema wa bukoba. nyumbani kwao mburahati hakuna kiongozi aliyekuwepo wa chadema isipokuwa lwakatare aliyekwenda binafsi kuwasilisha zile hela zilizochangwa bukoba ambazo mimi ndo nilipewa kuzipeleka.
mbwana masoud alijitolea kwenda igunga kuwa wakala akitokea dar. hakuna msaada wa chadema zaidi ya 180,000.
juzi nimesikia akiorodheshwa kati ya mashujaa.
Hahahahahahaahaha.Ludo umenivunja mbafu sangu..kwamba ukipelekwa rumande na Lissu utakula virugu yeye haguswi..hahahaNatambua kuwa maandano ni haki inayominywa na katiba ya sasa hata hivyo katiba mpya haijapatikana. Kama mwana CHADEMA na mwanaharakati,kimsingi naunga mkono dhana ya maandamano hata yasiyo na kibali kama nia na sababu za viongozi na waandamanaji ni moja.
Ilivyo leo nia na sababu za viongozi wa CHADEMA siyo moja na sisi wanachama.
Maoni yangu ni kuwa viongozi wanataka kujenga mgogoro ili wapate fursa ya majadiliano na serikali baada ya watu kuuawa,ama kuumizwa.
Napinga na siwezi kushiriki maandamano haya pia kwa sababu ya tabia za CHADEMA.
1: Inasherehekea vifo na mazishi,na kutelekeza familia za marehemu
2: Majeruhi hutelekezwa na chama
3: Watakaokamatwa,kuwekwa ndani na kushtakiwa,watasota wenyewe na kutiwa gerezani bila msaada wa chama
4: Treatment ya polisi na magereza,ni tofauti.Wanachama hunyanyaswa,wakati viongozi huheshimiwa, hivyo mkikamatwa na Lissu mfano, wakati nyie mnagongwa virungu yeye hagongwi.
5: Sababu ya maandamano haya siyo genuine kwa hiyo maandamano haya lengo na sababu zake siyo valid.
Tupo hapa bar na dada yako tunakunywa gongo
wewe ndo mwehu tena wale wasiojitambua unayetumiwa na ccm kama kondomuWanaokubali kuandamana ni wehu
FreemasonMungu yupi aliye pamoja na CHADEMA?
......Kama mwana CHADEMA na mwanaharakati, ......siwezi kushiriki maandamano haya pia kwa sababu ya tabia za CHADEMA.