Sitashiriki maandamano CHADEMA

Kamanda upo?? gongo mbaya nenda ukivunjwa miguu tutakuja kusalimia MOI

Hivi wewe kwa ujinga wako unadhani hao unaowaabudu wanaovunja miguu ya wengine, wao hawana ya kwao ya kuvunjwa?
 
Huyu ndie mwana chadema anetumia akili yake, wengine wote vichwa vyao wamemkabidhi Mbowe.
 

At least mmeanza kujitambua na hii ndo faida ya akili ndogo kuongoza akili kubwa.
 
Mimi nitashiriki endapo ,Mbowe na mke wake na wanae watakuwa msitari wa mbele
 
Afadhali kweli Mungu yupo pamoja na CHADEMA maana ungeshiriki wewe kwenye maandamano lazima yangeusishwa na UGAIDI.

Hakuna Mungu asiyetakia AMANI nchi na watu wake , sidhani kama CHADEMA Mungu anawataka hata kuwasikia maana wamewatia vijana ukilema na wengine kuuawa na kuwatelekeza kwa kuwashawishim ili wapinge serkali na sera zao za kuwa nchi isitawalike kabisa .

Hivi wenyewe wakiingia madarakani watawazuia wasipinge sheria au wasiandamane na nchi isitawalike sasa ujue ni sera za kijinga ndizo zinawatawala.
 

wewe ni nani kusema haya...
 
Hivi huyu jamaa bado ni mwanachama wa CHADEMA? kwa aliyotufanyia kwa nini hajafukuzwa?.
 

hahaha
kiona mbali,umeona kwa jicho la tatu na mwenye masikio asikie na mwenye macho hutaambiwa soma kilichoandikwa
 

CHADEMA hatuna mwanachama kama wewe.Go to hell.
 
Mwanaume ukijulikana bei yako ni hatari sana
 
Kuna wimbo mmoja unaitwa Kuachwa, sijui ni wa Christian Bella ka sijakosea...

"Kuachwa kuachwaaa....kuachwa ni shughuli pevu...aaaagh mbaya zaiiidi kwa yule uliempenda....yeye ananenepa wewe unakondaaa....kwa mawazooo kwa mawazo..."

Huu ndi ugonjwa mkubwa uanaomsumbua Ludo na Shonza...KUACHWA NA ULIEMPENDA
 
Ningeshangaa kama mtu mwenye sifa zote za mnafiki ungeshiriki maandamano ya watu timamu wa nia, kauli na vitendo. Wewe subiri maandamano ya wanafiki ndio yatakufaa.
 
halafu bado unajiita mwanachadema?
si ungeachana tu na hicho chama au unafiki tu unaoufanya hapa.

sasa sisi tusio na chama, mtu kama wewe tukuelewe vp?
 
wajinga pekee ndiyo watakaoshiriki wala siyo wenye akili timamu.
 
halafu bado unajiita mwanachadema?
si ungeachana tu na hicho chama au unafiki tu unaoufanya hapa.

sasa sisi tusio na chama, mtu kama wewe tukuelewe vp?
ukiwa na akili utamwelewa tu Ludovick lakini ukiwa hunaakili huwezi kumwelewa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…