sitasahau wadada nimewavulia kofia.

sitasahau wadada nimewavulia kofia.

Kwi kwi kwi kwi......chezea mapenzi ya mjini wewe## full maigizo##...na wale wanaosemaga mwanamke anatakiwa apretend kidogo ili apate mume,haya ndio mavuno yake....chezea maigizo wewe...utalizwa kweupeeeeee
 
Mambo niaje wakuu..sijui hata nianzie wapi?...hawa wanawake...!! basi tu!!basi bwana nmekua nikimdate dada mmoja mwenyeji wa iringa .sio siri kwa haraka haraka nlijua huyu ananipenda kwa dhati, mie kiukweli nlimpenda sana.Tumedate kwa almost mwaka na nusu,kwa mda wote huo sharti ilikua ni hakuna kugegendana mpaka tufunge ndoa.Kidume nlijipa moyo nkajikaza kwani mama nilihus namjua sana ni mlokole haswaa mpka watu uwa wananishangaa nlimptaje coz mie cnaga swaga za kilokole,aliku kesha nihakikishia kua yeye ni bikira na ajawai ku do.Kwa mda wote wa mapenzi yetu nmekua nikijaribu kuomba mchezo ila ilishndkana.juzi kati ulizuka ugomvi mkubwa sana kati yangu na yeye kisa kikiwa ni hicho hicho kugegenda,Mimi nkiwanataka yeye ataki,tumekaa bila kuongeleshana kwa almost wiki nzima,jana ijumamosi ndo aliamua kuvunja ukimya na kuniita niende kwake ili tusort out ili tatizo.Tuliongea mengi ila dada bado alikua kashikilia msimamo wake ila akaniomba nimpe mda kidogo afikilie jinsi ya kulifanya hilo,nlimkubalia,basi ile kuangana kwa hugs na kisses tukajikuta kitandani bahati nzuri ni kama she was 50/50 kufanya,na mie sikutaka kua ---- nikatoa dudu fasta nikijua leo ndo naifumua zawadi yngu ya chrsmas...mmmh..nlichokikuta huko staki kuamini mpka sa hvi..nahisi mie nlikua mwanaume wa 20 kuzamisha. Hata gori nlishdwa kupiga kwa sababu ya mawazo nlokua nayo,nlivaa surua yangu taratibu. nkimwacha demu analia sana uku akiniomba msamaha daa wanawake siwatamani tena..

Umenikumbusha mbali sana aiseeee, pole sana ndiyo ukubwa huo.
 
kama kutowa mawazo ningelikuomba kama ulikuwa na imani ya kuoa usingelileta hiyo thread hapa lakini alikujuwa wewe ni ulitaka kupiga na kuondoka
Inaweza kuwa aliwahi kufanya huo mchezo kwa sana lakini alirudi kwa mungu na kuwacha na kurekebisha tabia yake na alitegemea kuwa nawe ni utakuwa mkweli katika kuoa lakini wewe hukuwa muaminifu

mimi ninakulaumu wewe kutokuwa muaminifu na hukuwa na lengo la kuoa utaleta sababu nyingi lakini hizo zitakuwa ni maelezo tu

Ahaa! Kumbe angeoa kwanza halafu ndo akague seal? Teh teh teh! Lkn ka mdada nako kalikuwa kaongo kangetafuta kisingizio kingine sio bikra.
 
Ahaa! Kumbe angeoa kwanza halafu ndo akague seal? Teh teh teh! Lkn ka mdada nako kalikuwa kaongo kangetafuta kisingizio kingine sio bikra.
Tunakoelekea kabla ya kuoa inabidi uwe na talaka yako tiar.
 
Mi demu akiniletea sound ya bikira mi nawaulizaga sasa mimi sina bikira wewe mpenzi wangu hiyo ya nini?.

..ahahahaaaaa...!!! imma, kwa kuwa wewe huna basi na mwenzio asiwe nayo...ahahahaaaa...jf ni stress free zone kwa kweli
 
Niliishia kucheka kimoyomoyo tu.

Ah yani badala ya kumpa asante kwa bikira aliyokutunuku wew unamcheka kimoyomoyo...

Ila mimi ningecheka sana nahisi mpaka angekasirika..
 
Mnaodhani bikra ndo mke, mtaishia kufa na ugonjwa wa moyo! No one is virgin guys, life f.u.c.k.s evrybody daily
 
Ah yani badala ya kumpa asante kwa bikira aliyokutunuku wew unamcheka kimoyomoyo...

Ila mimi ningecheka sana nahisi mpaka angekasirika..

Huwa nikikumbuka, nacheka sana.
 
Yaani huwa siku zote siwaelewagi wanawake wanaojiita walokole: Nilipokuwa nasoma Diploma darasani kwetu alikuwepo dada mmoja mlokole hasa, jamaa mmoja naye ghafla akamjoin akawa mlokole na ikawa ni ulokole mwanzo mwisho, miezi michache kabla ya kumaliza chuo tukabaini kwamba jamaa kamtia mimba mlokole!! Haya wakati niko SUA, kuna wadada 4 wa kozi moja na jamaa mmoja wote walikuwa walokole na full time wapo pamoja. Baadae ikabainika kwamba yule jamaa alikuwa anawacharaza mpingo wale wadada wote!!!

ni kwa sababu ni walokole yaani hawajaokoka. Mlokole ni yule aliyeingia ktk wokovu kujifichaficha lakini anaendesha mambo yake kwa chini chini. Aliyeokoka ana msimamo katika imani yake.
 
Mkuu yote yanaweze,ntapima usijali

Siku nyingine, mwanamke akikuzunguusha sana...acha! jamaa mmoja alikutana na binti kwenye basi wakitokea mkoani, akamtongoza binti akamkubalia lakini akawa anamzungusha sana kiasi jamaa akakasirika na kuanza kumtukana yule binti. Mwishowe yule binti akamwambia wakutane mahali wazungumze, walipokutana yule binti akamweleza ukweli kuwa angeweza kumpa papucii lakini anamhurumia yeye jamaa, mkewe na watoto wake maana ameathirika.

Ngono si chakula....huhitaji ngono ili uishi. Besides you are still in school, stick with one thing at a time.
 
Dah mmeamsha yaliyolala.. Nilisahau yalinikuta mmefanya nikumbuke yangu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Pole,,,,, sie wenye bikra za ukweli huwa hatusemi ni mwendo wa sapurize.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom