SHIDA hapo alikupenda
so alitaka aku keep
asingekupenda wala asingekusumbua
sometimes wanaopendwa ndo wanaosumbuliwa
wasiopendwa wanakula tu kiulaini
mkuu mbona kama umenena ukweli sana! Hii kitu ilishawahi nikuta, miaka mitano kasoro nazungushwa kuachana na kurudiana kilikuwa ni kitu cha kawaida lakini mwisho wa siku mzigo akala mwingine!
haaa haaa sasa hilo tu ndio utuvulie kofia wenzako? kuna makubwa zaidi nini kofia hata suruali utavua
btw hongera kwa kugegeda na muwage na shukurani japo siku moja moja.
Haha
haaaaaa....hawatabiriki hawa ndomana tunakua wagumu wakat mwingine. Sasa
hapo kashamgegedua dada wa watu halafu anakuja kumkashfu huku. Kweli
shukrani ya punda mateke.
kama kutowa mawazo ningelikuomba kama ulikuwa na imani ya kuoa usingelileta hiyo thread hapa lakini alikujuwa wewe ni ulitaka kupiga na kuondoka
Inaweza kuwa aliwahi kufanya huo mchezo kwa sana lakini alirudi kwa mungu na kuwacha na kurekebisha tabia yake na alitegemea kuwa nawe ni utakuwa mkweli katika kuoa lakini wewe hukuwa muaminifu
mimi ninakulaumu wewe kutokuwa muaminifu na hukuwa na lengo la kuoa utaleta sababu nyingi lakini hizo zitakuwa ni maelezo tu
acha kumzaliolisha mwenzio
mkipewa shida, mkikataliwa shida
mna matatizo gani