Mkuu funguka vizuri. Wewe ndiye uliyeshutumiwa hapa kwa kugonganisha magari? Wewe hizi tuhuma zinakuhusuje?Nilijifunza kitu kikubwa sana,huyu dafa ni mtu mwelewa sana,lakini ana tatizo moja kubwa,(naongea si kwa nia mbaya,lakini hata wengine mjifunze)
Ana hulka ya ubabe fulani,na kutaka kudominate maamuzi ya mambo kwa kadri anayotaka!
Kwa mfano,akiazima pesa muda huohuo anataka umtumie,usituma kwa wakati anaotaka anakasirika!
Aliniomba nimtumie kiasi fulani cha pesa,nikamwambia kwa sasa sina,ngoja niitafute, heeeeeh palichimbika,"huu urafiki gani,haujali shida za mwenzako..." na blah blah nyiiiingi,baada ya hapo akapotea hewani!
Sasa kwa style kama hii ya ubabe na kukosa lugha ya utulivu,hakika mtu lazima ukimbie tu, wanawake wanapaswa kujua kuwa tunapokuwa kwenye mahusiano tunafanya na study za kina sana kubaini kama mtu ni suitable kuishi naye au lah,ikitokea unajenga mazoea kiasi cha kushindwa kubehave kama mke mtarajiwa utaachwa tu.
Na kuachwa kwa kuona tabia zako hazifai sio dhambi kabisa,hata mwanamke ukijikuta upo kwenye mahusiano na mwanaume ambaye tabia zake ni mzigo kwako,mwache tafuta anayeendana na matakwa yako.
Samahani sana kwa haya kama yatakukwazeni,lakini huu ndiyo ukweli!
Ngoja tusubiri. Wahusika wote wakitia mguu na kuweka mambo sawa itapendeza zaidiBetri ishachomolewa huku wananzengo mkuje
Hahahaaa,tulifahamiana kitambo sana akiwa Jordan University,na baadaye tukakutana tena hapa jukwaaniMkuu eleza ueleweke...huyu dada aliyeanzisha hii thread mlifahamiana vipi hadi kuanza kuazimana hela
Jamani naomba kuweka record sawa sawaMkuu funguka vizuri. Wewe ndiye uliyeshutumiwa hapa kwa kugonganisha magari? Wewe hizi tuhuma zinakuhusuje?
JF hii bana
Mkuu kwani kala pesa yako kiasi ganiHahahaaa,tulifahamiana kitambo sana akiwa Jordan University,na baadaye tukakutana tena hapa jukwaani
Haha kwa hiyo baada ya Grace kuweka uzi ukajipa kazi ya kudaka chozi ukarekebishe makosa ya baharia mwenzio matokeo yake na wewe yamekukutaJamani naomba kuweka record sawa sawa
Mimi si mtuhumiwa/mlalamikiwa wa Grace hata kidogo,lakini nimejaribu kumueleza ukweli kwa vile ninavyomfahamu na kwa kiasi tulicho share segment ya urafiki wetu
Ningeweza kuongea naye mafichoni,lakini nimeamua kushare kwenye uzi wake kwa sababu mbili:
1.Kwa sasa hatuna urafiki kama ilivyokuwa zamani,urafiki uliingia doa baabda ya yeye kutaka nimkopeshe pesa lakini bahati mbaya sikuwa kiasi alichohitaji kwa haraka,baada ya pale aliona urafiki wetu hauna maana kama siwezi kumpa pesa "on the spot" nikamwacha aende
2.Nimeandika hapa ili mabinti wengine mjue namna gani unaweza kujikuta unaachwa kwa sababu ya kuchukulia mambo poa poa katika mahusiano, na kutaka ku-control mahusiano kwa asilimia kubwa.
Wanaume si wote wenye nia ovu dhidi ya wapenzi wao,lakini katika kutafuta kilicho bora hujikuta wamewaacha kwa sababu zinazoasisiwa na wanawake wenyewe bila kujua.
Acha umbeaJamani amkeniiiiiiiii wananzengo...kuna mtu kachomoa betri huku
Hahahaa dada Khantwe bhana,yananikuta yepi tena?Haha kwa hiyo baada ya Grace kuweka uzi ukajipa kazi ya kudaka chozi ukarekebishe makosa ya baharia mwenzio matokeo yake na wewe yamekukuta
Hahaaah mkuu maisha yashakuwa magumu haya...bora tupoteze stress hukuAcha umbea
shosti imenibidi nicheke tuu,.
INASIKITISHA sana MTU anapoamua kumchafua MTU bila sababu zozote kwa kubadilisha ID yake Na kujifanya anamjua mhusika vizuri sana.Eti niliwai kuomba pesa uliposema huna nikakasirika ndo ukaniacha .Unaulizwa unahusika VP Mara tena sio wewe tunajuana tu..Hahahaaa,tulifahamiana kitambo sana akiwa Jordan University,na baadaye tukakutana tena hapa jukwaani
Pole Sana! Mungu akutie nguvuI believed, trusted and loved him with all my heart but at the end he did ,what he felt was right without taking a second thought of it.
But I thank God for his miracles...
I stand before the mass kusema ukweli,ninakufahamu Grace,tena kuliko unavyoweza kudhani,nilikujua tangu ukiwa Jordan universityINASIKITISHA sana MTU anapoamua kumchafua MTU bila sababu zozote kwa kubadilisha ID yake Na kujifanya anamjua mhusika vizuri sana.Eti niliwai kuomba pesa uliposema huna nikakasirika ndo ukaniacha .Unaulizwa unahusika VP Mara tena sio wewe tunajuana tu..
(Sikuwepo muda hapa jukwaani.Ila baada ya kuona mchafuko huu Nimeona nilisemee hili.
Huenda aliyeandika hapa ndo mhusika mwenyewe aliyegonganisha Bombardier halafu kaja Na hoja dhaifu ili nionekane mbaya.
Ukweli ni kwamba huyu aliyeandika hapa nampa Uhuru kama aliyosema ni Kweli anielezee nilivyo..(Mana tuhuma eti sijui niliwai muomba pesa aliposema hana ndo nikamkimbia Na akaniacha si za Kweli.
Mana Mimi nilikuwa straight kwa hoja ajibu tuhuma zote .
Nimeona unakuja PM tena kwa salamu (Mbona ndugu yangu sikufahamu?.au ndo wewe niliyekuelezea kwenye uzi umekuja kivingine?
Why iwe hivyo?
Jibu hoja kama Kweli unanijua.
Pia nimejaribu kukufatilia kwa kusoma thread zako za visa vya wanawake zako sijui Tanga Na singida kwa Kweli nashindwa kukuelewa Mimi tunafahamiana wapi.
Au lengo lako ni lipi.
Au wakati Upo Na hao wanawake wote Mimi wakati huohuo nasoma tulionania wapi.
Sijapenda unachofanya.
Yani unanipaint nionekane niliyemwandika hapo juu kwenye thread ni mwingine Na wewe ni mwingine.
Sasa huoni kama unajichanganya.
Au umeona humu watu hawana uelewa wa kubaini ukweli.?Jiheshimu.
Jibu hoja why ulifanya vile au kaa kimya.