gracemwakilasa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 538
- 1,281
- Thread starter
- #401
Wala sio wa hivyo.Ana heshima zake huwezi amini.Mabinti huwa nawatazamaga nasema hihihihihi
hamuwajui wanaume nyinyi hasa hao wavaa modo na cheni shingoni eti unajisifu mbele za watu nina mchumba wa kukuoa.
jaribuni kupima wanaume wa aina mbalimbali wanaokuja na wako siriuz, binti una miaka 26 au 27 unatembea na mwanaume asieeleweka kisa anajua kuvaa tshit na milegezo