Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

Nilijifunza kitu kikubwa sana,huyu dafa ni mtu mwelewa sana,lakini ana tatizo moja kubwa,(naongea si kwa nia mbaya,lakini hata wengine mjifunze)

Ana hulka ya ubabe fulani,na kutaka kudominate maamuzi ya mambo kwa kadri anayotaka!

Kwa mfano,akiazima pesa muda huohuo anataka umtumie,usituma kwa wakati anaotaka anakasirika!

Aliniomba nimtumie kiasi fulani cha pesa,nikamwambia kwa sasa sina,ngoja niitafute, heeeeeh palichimbika,"huu urafiki gani,haujali shida za mwenzako..." na blah blah nyiiiingi,baada ya hapo akapotea hewani!

Sasa kwa style kama hii ya ubabe na kukosa lugha ya utulivu,hakika mtu lazima ukimbie tu, wanawake wanapaswa kujua kuwa tunapokuwa kwenye mahusiano tunafanya na study za kina sana kubaini kama mtu ni suitable kuishi naye au lah,ikitokea unajenga mazoea kiasi cha kushindwa kubehave kama mke mtarajiwa utaachwa tu.

Na kuachwa kwa kuona tabia zako hazifai sio dhambi kabisa,hata mwanamke ukijikuta upo kwenye mahusiano na mwanaume ambaye tabia zake ni mzigo kwako,mwache tafuta anayeendana na matakwa yako.

Samahani sana kwa haya kama yatakukwazeni,lakini huu ndiyo ukweli!
Mkuu funguka vizuri. Wewe ndiye uliyeshutumiwa hapa kwa kugonganisha magari? Wewe hizi tuhuma zinakuhusuje?

JF hii bana
 
Jamani naomba kuweka record sawa sawa

Mimi si mtuhumiwa/mlalamikiwa wa Grace hata kidogo,lakini nimejaribu kumueleza ukweli kwa vile ninavyomfahamu na kwa kiasi tulicho share segment ya urafiki wetu

Ningeweza kuongea naye mafichoni,lakini nimeamua kushare kwenye uzi wake kwa sababu mbili:

1.Kwa sasa hatuna urafiki kama ilivyokuwa zamani,urafiki uliingia doa baabda ya yeye kutaka nimkopeshe pesa lakini bahati mbaya sikuwa kiasi alichohitaji kwa haraka,baada ya pale aliona urafiki wetu hauna maana kama siwezi kumpa pesa "on the spot" nikamwacha aende

2.Nimeandika hapa ili mabinti wengine mjue namna gani unaweza kujikuta unaachwa kwa sababu ya kuchukulia mambo poa poa katika mahusiano, na kutaka ku-control mahusiano kwa asilimia kubwa.

Wanaume si wote wenye nia ovu dhidi ya wapenzi wao,lakini katika kutafuta kilicho bora hujikuta wamewaacha kwa sababu zinazoasisiwa na wanawake wenyewe bila kujua.
 
Haha kwa hiyo baada ya Grace kuweka uzi ukajipa kazi ya kudaka chozi ukarekebishe makosa ya baharia mwenzio matokeo yake na wewe yamekukuta
 
Hahahaaa,tulifahamiana kitambo sana akiwa Jordan University,na baadaye tukakutana tena hapa jukwaani
INASIKITISHA sana MTU anapoamua kumchafua MTU bila sababu zozote kwa kubadilisha ID yake Na kujifanya anamjua mhusika vizuri sana.Eti niliwai kuomba pesa uliposema huna nikakasirika ndo ukaniacha .Unaulizwa unahusika VP Mara tena sio wewe tunajuana tu..
(Sikuwepo muda hapa jukwaani.Ila baada ya kuona mchafuko huu Nimeona nilisemee hili.
Huenda aliyeandika hapa ndo mhusika mwenyewe aliyegonganisha Bombardier halafu kaja Na hoja dhaifu ili nionekane mbaya.
Ukweli ni kwamba huyu aliyeandika hapa nampa Uhuru kama aliyosema ni Kweli anielezee nilivyo..(Mana tuhuma eti sijui niliwai muomba pesa aliposema hana ndo nikamkimbia Na akaniacha si za Kweli.
Mana Mimi nilikuwa straight kwa hoja ajibu tuhuma zote .
Nimeona unakuja PM tena kwa salamu (Mbona ndugu yangu sikufahamu?.au ndo wewe niliyekuelezea kwenye uzi umekuja kivingine?
Why iwe hivyo?
Jibu hoja kama Kweli unanijua.
Pia nimejaribu kukufatilia kwa kusoma thread zako za visa vya wanawake zako sijui Tanga Na singida kwa Kweli nashindwa kukuelewa Mimi tunafahamiana wapi.
Au lengo lako ni lipi.
Au wakati Upo Na hao wanawake wote Mimi wakati huohuo nasoma tulionania wapi.
Sijapenda unachofanya.
Yani unanipaint nionekane niliyemwandika hapo juu kwenye thread ni mwingine Na wewe ni mwingine.
Sasa huoni kama unajichanganya.
Au umeona humu watu hawana uelewa wa kubaini ukweli.?Jiheshimu.
Jibu hoja why ulifanya vile au kaa kimya.
 
I stand before the mass kusema ukweli,ninakufahamu Grace,tena kuliko unavyoweza kudhani,nilikujua tangu ukiwa Jordan university

Tuliwahi kuwa marafiki wazuri tu,lakini ukweli ni kwamba ulikata mawasiliano na mimi nikakuacha uende baada ya kuazima pesa ya dharula ambayo kwa muda ule sikuwa nayo.(kiukweli ilinishangaza sana kuona kwamba urafiki unakufa eti kwa sababu nimekosa pesa "on the spot")

Tuache hayo,kama nimekukwaza sana naomba niwie radhi,lakini zaidi niwaambie mnaoniuliza kama Grace ana mtoto au lah,naomba mumuulize mwenyewe,mimi ninamfahamu lakini sina mamlaka ya kutoa details zake hata kidogo

Mimi nilizungumza mambo machache ambayo wanawake wengine wanaweza kujifunza kupitia yeye,kama nilivyoeleza hapo juu,mengine yoooote tafadhali aulizwe mwenyewe japo ni kweli kuwa namfahamu sanaaa
 
Pole sana wanaume wengi wamekosa heshima kwa wanawake ,skuingine ongeza umakini dadangu na mtangulize mola
 
99 Reactions
Reply
Back
Top Bottom