Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

Aisee. Pole sana
Nashukuru sana.Ila Sijajua mpaka Leo katika akili ya huyu Bwana.
Alipanga kunifanyia nini.Maana Sio kwamba angeniambia toka mapema au angesitisha mawasiliano Mimi ningefanya nini.Ni Dhahiri nisingekuwa Na uwezo wowote wa kufanya kitu.Maana yeye ndo muamuzi .
Sasa alipoamua kuanzisha mahusiano mengine ilihali kwangu hajasitisha ilo ndo Tatizo
Kamwe nisingeweza kulazimisha mapenzi. Mana madhara ya kulazimisha mapenzi yanajulikana.Nilikuwa naye kwa Bado alikuwa anaonyesha kuwa Na Mimi kama mwanzo.Na Hata Mara chache alipokuwa haipatikani.Utetezi wake nilikuwa nauelewa.Mfano nilikuwa nasaidiana Na mafunzi.Au network,au miliwai lala.Mambo kama hayo.
Hakuwai nitamkia Nina MTU.Na mipango mingine ilikuwa inaenda sawa.Mpaka kupata likizo ya mwezi wa 6,kwamba nikae mwezi mzima alijua Na tukapanga.
Ilikuwa ngumu sana kubaini kama kuna MTU mwingine anapanga naye mipango.
 
Huyu mchumba alijulikana mpaka kazini likizo hii nikaomba Ili kwenda kutambulishwa. Boss wangu ni wa kike.Nakumbuka alitoka ofisini akipiga vigeregere vya furaha ndoto ya mfanya kazi wake inatimia ya muda mrefu.Mana y alikuwa maswali yake muhimu kwangu.
Mwanangu lini mkwe?? Namwonesha picha tu kwamba yupo anasoma, yupo anasoma.
Kwa yeyote aliyetokewa Na mkasa kama wangu anaelewa ni kama nusu ya maisha yangu ilikuwa kwake.
Na naumia sana nikikumbuka maisha yangu ya nyuma.
Nilipofiwa Na wazazi wote wawili nikiwa ndogo sana.( walikufa wote siku 1 kwa ajali ya Gari)
Sasa maisha bila wao hayakuwa rahisi mpaka kufika chuo kikuu ilikuwa kudra za Mungu.
Pamoja Na changamoto nyingi hatimae nikampata huyu.Nikamwita Baba akaniita Mama.
But see how it became...... I cried, cried every single Day.
Dear Lord!Have mercy!

Jamaniiiiiii hadi machozi yamenitoka [emoji24][emoji24][emoji24]
Pole mwaya
Ila wala usimlilie huyo mwanaume,umia kwa muda uliopotezewa ila sio yeye maana hafai asilani!
 
Uzi mrefu sana
Ila pole sana

Binafsi siwezi date na mwanafunzi mbaya zaidi awe anasoma nje...hapana kwakweli
 
Nashukuru sana.Ila Sijajua mpaka Leo katika akili ya huyu Bwana.
Alipanga kunifanyia nini.Maana Sio kwamba angeniambia toka mapema au angesitisha mawasiliano Mimi ningefanya nini.Ni Dhahiri nisingekuwa Na uwezo wowote wa kufanya kitu.Maana yeye ndo muamuzi .
Sasa alipoamua kuanzisha mahusiano mengine ilihali kwangu hajasitisha ilo ndo Tatizo
Kamwe nisingeweza kulazimisha mapenzi. Mana madhara ya kulazimisha mapenzi yanajulikana.Nilikuwa naye kwa Bado alikuwa anaonyesha kuwa Na Mimi kama mwanzo.Na Hata Mara chache alipokuwa haipatikani.Utetezi wake nilikuwa nauelewa.Mfano nilikuwa nasaidiana Na mafunzi.Au network,au miliwai lala.Mambo kama hayo.
Hakuwai nitamkia Nina MTU.Na mipango mingine ilikuwa inaenda sawa.Mpaka kupata likizo ya mwezi wa 6,kwamba nikae mwezi mzima alijua Na tukapanga.
Ilikuwa ngumu sana kubaini kama kuna MTU mwingine anapanga naye mipango.
Achana na kuwazia yaliyopita mami ni moja ya changakoto za maisha binadamu tunapitia mengi
 
Yeye anaona sawa.
Ila nakumbuka tu kuna wakati.napanga mpango wa kwenda Sijui yule Dada ndo naye anapanga akaanza Kichwa kinaniuma sana unajua mama ananifatilia sana nipo Na nani vikao kunichunga ananichagulia wa kuwa naye mpaka sasa hatuongei.
Lakini usijali nitaweza sawa mi MTU mzima atanifuatiliaje
Nikahisi kitu.
Lakini ndo hivyo.Sasa no.ya simu ya mama yake alinipa ya mjomba wake alinipa kwa jili ya salamu Na tulikuwa tunasalimiana.MTU mzima Mama akupangie wa kuwa naye.( labda tamaa tu) Na Mimi Si kwamba Unaweza mlazimisha MTU kuwa naye ila unasema mapema kucheza Na feelings za MTU mama ulivyosema ni hatari sana.Yeye anaona ni kawaida. Na cha kushangaza alikuwa anadai Mimi Na yeye tumetoka mbali wasichana wa muda mfupi hawawezi kutuvuruga Hata ikitokea ni story tu .
Kweli kanipotezea Direction sana.
Pole sana but sahau yaliyopita na tazama mbele kuna kusudi hili kutokea kwako so never give up keep practicing and you will become better.
Cha msingi ni kuendelea na mambo ya msingi na usifanye kosa kumwamini MTU kupita kiasi.
Tulia jikubali chukulia kawaida.
Uwezi jua soon ukampata atakaye kusahaulisha ya nyumba.
# peace & love
 
Pole sana,naamini kuna aliyekuwa anakusumbua ukimkataa,yawezekana ndie mumeo..Au bado unamtaka aliyesoma nje ya nchi?
Hili suala la kusoma nije ya nchi halikuwa first priority. Kwani kabla walikuwepo walioonyesha nia ya kuwa nami Bado tayari walisoma nje Na kuanza kazi Sio kusubilia kama nilivyomsubilia huyu kaka ninayemlenga.
Na anajua yote.Basi tu labda Sijajua alitaka kunikomesha ama niishi upweke.Niishi na mawazo Na kukonda.Labda ndo nia yake.Ila mimi nilikuwa Na nia safi Na yeye bila kujua lengo lake..
Na Hata Dada mwenza alivyoniona Na akajithaminisha Na yeye.Alibaki kushangaa akiuliza kwani huyu Kaka alikosa nini kwako.Jibu rahisi labda kwa kuwa nipo So charmingHakupenda.
 
Hayo maisha hayakwepeki kwenye mahusiano ya karne hii ambayo wanawake hamutaki kuchaguliwa wachumba. Mnatafuta wenyewe bila kujua hata walikozaliwa mwisho wa Siku hawana moral obligation kwenu.
Fanyeni kama kombe la dunia. Timu moja ikitoka unashabikia timu nyingine. Kama vipi waambieni wa kubwa zenu wawatafutie wachumba
 
Huyo jamaa ni boya sana.
Mimi usingeweza kunikamata kirahisi hivi.
Ila dada una moyo sana.
Wewe ni mwanamk hatari sana unaweza kuua kabisa.
Lakini mwenyewe alinitext Akasema Nimekukubari.Wewe ni Chiboko!
 
Aksante Dear.Mapito niliyopitia kwa huyu kaka.
Nashindwa kuelewa
Kuna wakati Tena ilitokea sitofamu akawa Na MTU mwingine.
Nikawazaaaa nikaamua kushukuru Na kusonga mbele.
Akanijia
akijutia sana Na kusema alipoenda alipotea nimsanehe.
Nikatafakari sana sana
Nikansamehe!!!!!!
Ndo amenitenda Tena.
OK.Sijajua nimekosea wapi au maisha yangu anayachuKuliaje.
Any way.Sijajua dhumuni la Mungu kunikutanisha naye Na majaribu haya.
Why iwe hivyo.Huwa najiuliza sana.
But.Nashukuru.
Nina mengi ya kusema kuhusu hili jambo lililokukuta ila kwa heshima, wacha nimeze maana nikikumbuka nawaza kulia tena.

Niseme tu vumilia mme wako huyo. Na.kama ni yeye atajileta mwenyewe ila huyo kaka hafai malaya sana
 
Mwanaume ana mwanamke na ana watoto nae wewe unaingilia kati kumuharibia mwanamke mwenzio halafu unalalamika ! Hata hukumuhurumia huyo mwenye watoto ? Au hukujua? Unashupalia mwenzio aachwe upate wewe eti ?
Sema jamaa nae chenga vile vile
 
Mwanaume ana mwanamke na ana watoto nae wewe unaingilia kati kumuharibia mwanamke mwenzio halafu unalalamika ! Hata hukumuhurumia huyo mwenye watoto ? Au hukujua? Unashupalia mwenzio aachwe upate wewe eti ?
Sema jamaa nae chenga vile vile
Hujanielewa.
Ni kwamba wakati naanza mahusiano naye.Kwanza hakuniweka wazi kama ana mahusiano. Kumbuka tulikuwa mkoa tofauti Na Mara chache Kurudi rikizo muda wa Mimi nasoma Na yeye anasoma
.Sasa ikatokea Mimi nasema nashukuru nimepata ambaye hajawai oa hapo kabla Mana katika hali ya kawaida ilo ni la msingi.
Siku moja Na akaniomba msamaha Akasema naomba unisamehe niliwai Oa Bomani.Lakini huu ni mwaka sishiriki Na huyo mke Na ndoa IPO kwenye mikakati ya talaka Na pia mwanamke yupo njiani kuchukua uhamisho wa kuhama mkoa.
Na pia akanionyesha vitu kama picha ambazo alizichana Na wembe iliyobakiza yeye tu(za ndoa ya Bomani)pamoja Na malumbano yapo ya Kuhusu kutengana.
Nilipata shock sana sana.Mana tayari nilijua nimeingia wrong side..Yaani Lost files .
Sasa tayari nipo naye. Ni moja kati ya sababu za kuachana naye mwanzo pamoja Na mambo mengine.
Laiti mwanzo hayo ningeyajua nisingemwingiza moyoni mwangu.Sasa akawa ameshaingia pia walishaanza muda maswala ya Kutengana kabla yangu ila kwa kuwa muda mwingi alikuwa anasoma akawa anashindwa.Pia Sio hivyo tu nikagundua kwa kufuatilia mwenyewe mwanamke ndio ambaye yupo tayari kuondoka.Kwa kupenda pengine kutokana Na mambo yao..
Kwa hiyo kifupi situation ilikuwa hivyo.Mpaka akahama nyumba ya mwanzo Na huyo mkewe.Akahamia anakoishi Sasa.
Hivyo sikuhusika kwa namna moja ama nyingine kutaka kuwasambaratisha .Na pengine ningejua mwanzo ningejua.
Kifupi pamde zote kwangu Na kwake kulikuwa Na kosa.
 
Back
Top Bottom