Wazee basi, Jana katika Harakati nikiwa nimeenda kwenye sherehe mshikaji alikua anaoa
Sherehe, ilifana sana basi kama kawaida nikawa napiga zangu bia meza yetu ilkua ni kreti la safari larger na kali moja
Ikafika muda wakuu kibofu kikatingwa Ikabidi niende maliwato kupunguza acid,
Nje kulikuwa kiza, mbele yangu akaja demu Anabonge la maliwato/mataqo makubwa nikaomba Namba, hakuchomoa, nayeye alikua vibe pombe huwezi amini kakubali
Sasa Leo jioni nimemuita kaja baa fulani bila make up wala msabWanda wa godoro imebidi nikimbie😂wakuu
Msimu huu wa baridi na bia zinaponza