Mkuu mbona tulikuwa wote kwenye mapambano au umeamua kujitoa ufahamu maksudi??? mimi kwa sasa sio mwenzakoTokea lini umekuwa CCM wewe?
Angalia utaliwa ndogo kwa akili hizo.
Ushauri murua kabisaaaaHuyo Mama sasa atatkiwa kuhakikisha wapinzani hawafanyi mikutano ya kisiasa,hawaruhusiwi kuaga maiti,hawashindi uchaguzi kwa njia yoyote ile na kwa moshi akitaka apate sifa apavurugevuruge tu kama Arusha ili afikie rank ya kina bashite na gambo
Nonsense
Mkuu mbona tulikuwa wote kwenye mapambano au umeamua kujitoa ufahamu maksudi??? mimi kwa sasa sio mwenzako
Sasa mkuu kwani yeye si ndio tupo nae kwenye vikao? kwa nini akubali kupewa ushauri wa kumchukua Mama wa jirani?Sidhani kama mtukufu huwa anafanya maamuzi kwa kutegemea mawazo ya watu kama nyie. Vipi mnataka ashauliwe wakati washauri wenyewe ni vilaza.?
Mkuu uvumilivu wakati unaendelea kutesea nafsi na dhamiraUngevumilia kama sisi wenzako siku moja utaonekana.
Sirudii kosa mkuuHaha kufanyakosa nikosa nakurudia kosa niuzebe nanjaa hailei mwana uzaniyaendi kumbe .............
Kushika dola na kuonesha uongozi wa mfanoMalengo ya muda mrefu.
Vipi nini hatma ya chama chenu ACT Wazalendo?
Mkuu hayo ni makosa madogo madogo ya kurekebisha, nashukuru we ulielewa nilichomaanisha, btw ningekuwa na secretary , kam asie na cheti anaandikiwa why not me?Ulimaanisha ku-"declare interest " au declear interest! ?! Bora hata amekuacha maana yale yale
Mkuu me umenielewa, Hiyo ni kauli sahihi kwa mtu mwenye maamuzi yeyote juu ya wengine bila kuingiliwa ama kuulizwaKwanza Mkuu tengua kauli ya kumuita Magufuli Mtukufu
Mtukufu Ni mungu pekee
Mkuu we amini tu nlichosemaWeka kadi hapa tujue wewe una damu ya kijani otherwise hii ni propaganda tu
HakikaHii Mbona inajulikana tangu kitambo,
Bado "kiongozi mkuu" wa kile Chama kupewa wizara, we subiri tu!
Kunywa maji mengi!
Hana utukufu wewe Nimstahiki tu kwa cheo chake mtukufu ni mungu pekeeMkuu me umenielewa, Hiyo ni kauli sahihi kwa mtu mwenye maamuzi yeyote juu ya wengine bila kuingiliwa ama kuulizwa
Mkuu hujasoma phylosophy ndio maana umetumia nguvu kubwa sanaNatangaza kugombea ubunge jimbo la KARATU......
Tangu lini ulikuwa ccm wakati hapo ulitangaza nia kuwa unatangaza kugombea ubunge karatu kupitia chadema...
Njaa mkuu sina wivuAcha wivu mkuu......utakonda,,,,,,
ukisema njaa tutakuita mchochezi....Njaa mkuu sina wivu
Kweli mkuu, jamaa hataki tu kuelewaCCM hatuna watu wajinga kama wewe.