Sitaoa mwanachuo kwa jinsi ninavyoona wanavyochezewa

Sitaoa mwanachuo kwa jinsi ninavyoona wanavyochezewa

Omba Mungu akushushie kama Adamu alivyoshushiwa Hawa totauti na hapo ndoa hautoiweza ndugu yangu,kuna mashujaa wameoa barmaid na maisha yanasonga wewe unalalama kuhusu wanachuo.
 
Kwa ninavyoona wanavyotumika hivi, nikioa mwanachuo yabidi nipimwe mkojo.

Wakina dada wa chuo hamuoneagi huruma huo mwili wenu? Popote unatumika tu si hostel, geto za masela au gest .

Yani kisa dinner tuu mtu kukulisha ndo unatoa mwili wako? Hata kama hali ni mbaya au huna boom ila si kiivyo.

Au ndo huo uhuru mnaokuja kuupataga chuo wawafanya mjisahau?

#Samahani_kwa_wale_wachache_wanaojitunza
Take it easy mkuu, hainaga makombo hiyo. Hao wanaotoka chuo ndio wanakwenda maofisini, viwandani, kwenye mashirika, mabenki n.k, ukawaona huko ukawapenda na kuwaowa. Wala hakuna mahali kwenye miili yao pataandikwa waliwahi kufanya kwenye magari, hostel au guest houses. Ukimchunguza saana kuku.....
 
Asilimia tisini ya waliooa wanachuo waliomaliza wanakula makombo hakuna bikra wanapigwa mnooooo yani kuoa graduate andika umeumia ujue ushapigiwa sana
 
Haya mambo ukiendekeza utajikuta hauoi kabisa ....huko makazini migegededo inendelea kama kawaida ...hakuna sehemu kusiko na migegedo .... hata wasioenda chuo migegedo kitaa inaendeleaa ....haina makombo ilee...huwa tunajidanganya sana ..... watu wengi huwa tunaoa na kuolewa na watu ambao hatujui historia zao za migegedo.Huyo ambaye huna historia naye kuna wenzio wanakupangia bonge la list la ma-x wake .... Lakini kuna wadada ambao labda walikuwa micharuko kinoma wameolewa na ndoa zao zimetulia kabisa .... muhimu mpendane na wote muwe tayari kuingia katika MAJUKUMU ya ndoa ......
 
Ukiajiriwa Hospitali halafu upangiwe shift ya usiku sijui utasemaje mkuu. Zamani CBE ilikuwa inaongoza kwa hizi issue. Sijui miaka hii nani anakamata usukani
 
Sisi wanachuo ni malaya malaya tu.si wanaume si wanawake tunapenda sana kufanya mapenzi...
 
Sisi wanachuo ni malaya malaya tu.si wanaume si wanawake tunapenda sana kufanya mapenzi...
Hili tendo haijalishi ni mwanachuo au la, ni kwa kila binadamu aliyekomaa na yupo active kibaolojia
 
Back
Top Bottom