Sitaoa mwanachuo kwa jinsi ninavyoona wanavyochezewa

Hata mwanao wa kike atakayefika chuo kikuu hataolewa
 
Kwa ninavyoona wanavyotumika hivi, nikioa mwanachuo yabidi nipimwe mkojo.

Wakina dada wa chuo hamuoneagi huruma huo mwili wenu? Popote unatumika tu si hostel, geto za masela au gest .

Yani kisa dinner tuu mtu kukulisha ndo unatoa mwili wako? Hata kama hali ni mbaya au huna boom ila si kiivyo.

Au ndo huo uhuru mnaokuja kuupataga chuo wawafanya mjisahau?

#Samahani_kwa_wale_wachache_wanaojitunza
mzabzab Michewen Carleen
 
Mkuu ambacho naweza kusema wanawake wengi (sio wote) wakipata Uhuru ule wa kusema haulizwi akitoka wala kurudi kwake wanakuwa Malaya .
Kiukweli wanawake wasomi wanatia kinyaa sana
Haha Nakazia
 
Kwa ninavyoona wanavyotumika hivi, nikioa mwanachuo yabidi nipimwe mkojo.

Wakina dada wa chuo hamuoneagi huruma huo mwili wenu? Popote unatumika tu si hostel, geto za masela au gest .

Yani kisa dinner tuu mtu kukulisha ndo unatoa mwili wako? Hata kama hali ni mbaya au huna boom ila si kiivyo.

Au ndo huo uhuru mnaokuja kuupataga chuo wawafanya mjisahau?

#Samahani_kwa_wale_wachache_wanaojitunza
Asante Kwa taarifa
 
Back
Top Bottom