Sitaoa mwanachuo kwa jinsi ninavyoona wanavyochezewa

Sitaoa mwanachuo kwa jinsi ninavyoona wanavyochezewa

Ukimchunguza kuku huwezi kumla, ipo siku utasema bora wa chuo
 
Huoi wanachuo ila unaoa wasomi??
Kwa hiyo wakimaliza chuo ndiyo utawaoa???
 
Ebu kwanza tueleze kama kwenye familia yenu hakuna mama, dada ama shangazi aliepitia chuo....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Mimi mwanamke huwa siwaamini .. ila ikifika zamu yangu ya kula mzigo napiga fresh ... na mwanamke hachunguzwi wewe subiri zamu yako
 
usiishie hapo pia hakikisha mtoto wako wakike humpeleki chuo
 
Binafsi kabla ya kuanza chuo nilivhosoma mm, nilikuwa na mawazo kama yako..

Ila honestly, kwa chuo kama UDSM kiukweli ni tofauti..

Pale nimekutana na Bikira saba, na nimaamua kuziacha kwa kuwa sikuwa na malengo ya kuwaoa...

Binafsi huwa na huruma sana katika hilo eneo kutoa bikira ya mtu nisiyekuwa na malengo nae badae
 
Back
Top Bottom