kigogo1ivi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 539
- 343
- Thread starter
- #21
we jamaa bora uendelee na kazi nyingine,hakuna demu humu wakuoa.
Inamaana wahumu wameisha shindikana!
we jamaa bora uendelee na kazi nyingine,hakuna demu humu wakuoa.
we jamaa bora uendelee na kazi nyingine,hakuna demu humu wakuoa.
Acha nichangamkie fursa hapa.......
we jamaa bora uendelee na kazi nyingine,hakuna demu humu wakuoa.
Nipo mimi, ila nahisi nutakubemenda. Nina miaka 30+
Pole sana mpaka sasa hauja olewa!
Hahaaaa... Kwani lazima mkuu!
he he, eti kanda ya ziwa.
Mkuu mbona umeweka boundary ya kanda ya ziwa tu kulikoni? Au mtonyo wa nauli kwa watu wa ruvuma au katavi watakaokupenda ni shida.? Hahahahaa
Hata wakina Robi, Bhoke nawenio ili mladi wawe kanda ziwa
Hata kina Nyangeta, Nyampilia watakufaa?
Najitokeza leo nikitafuta mchumba, nina miaka 27. ninaishi mwanza nimejiajili naomba awe na
Vigezo hivi:
1. Awe mkristo,
2. Awe na miaka isiyo zidi 23,
3. kabila sibagui. Naaidi kumpenda sana atakae jitokeza.
Tena hao ndiyo ninao watafuta
Ukiweza kuhamia mwanza nduh tabu[/QUOT
Sema kwanza assets ulizonazo elimu yako a/c yako imeshibaa?
Unataka assets? Wenzio wanalia usiku kucha wapate angalau hata mume wa kukaa naye ilimradi akajitambulishe kwao hata ndoa hawataki