Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,127
- 124,691
Inamaana wahumu wameisha shindikana!
Pole sana mpaka sasa hauja olewa!
Kwa dharau hizi umpate nani....
Inamaana wahumu wameisha shindikana!
Pole sana mpaka sasa hauja olewa!
Unataka assets? Wenzio wanalia usiku kucha wapate angalau hata mume wa kukaa naye ilimradi akajitambulishe kwao hata ndoa hawataki
Wako nchi gani hao mkuu
aya dada namba yangu ni 0763175935,nitumie sms
najitokeza leo nikitafuta mchumba, nina miaka 27. Ninaishi mwanza nimejiajili naomba awe na
vigezo hivi:
1. Awe mkristo,
2. Awe na miaka isiyo zidi 23,
3. Kabila sibagui. Naaidi kumpenda sana atakae jitokeza.