Sitamani mapenzi, nimekinai kabisa


Wakat mwingine unaweza fanya right choice akaja badilika badae.tunaita kuharibikia ukubwani
 
Ndoa bwana! Ukikuta mwanaume hana tatizo, mwenye tatizo mwanamke. Ukikuta mwanamke hana tatizo, mwenye tatizo mwanaume! Ni kana kwamba tumeumbwa kutibuana tabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…