Sitamani mapenzi, nimekinai kabisa

Bado Mungu Anaweza!!!
Jipe Moyo bila kukata tamaa na Mwombe Mungu hajawahi kushindwa.
 
Ukiwa na house girl lazima uzae nae. Hata Ibrahim, Yakobo, Selemani na Daudi walizaa na ma house girl, house girl hayupo pale ili apige deki wala kupika. Yuko pale kwa ajili ya kumsaidia mama tendo la ndoa. House girl yuko pale ili baba amtafune. Na house girl ataondoka iwapo baba hajamtafuna. Hebu tafakari house girl anapoishi kwako atachukuliwa na nani? Baba asipomtafuna house girl atamtengenezea mazingira mabaya. Mbona Ibrahim alizaa na mjakazi wake Hajra!!! Selemani alitoka nao 300!! We kamoja tu! Gonga buana. ViVA Nabii TITO...
 
Jamani hizi ndoa!.
Tutaoa kweli?
Pole my dada, jipe moyo, Mungu ni mwema!
 
hii hatari aisee wanaume sisi nasi dah sijui udhaifu huu tutaudhibiti lini...pole dada yetu na sie ndoa zatusubiri
 
Hapana mkuu, mi nasemaga mnafanya wrong choice kupata mwenza. Si unaona mwenyewe hapo juu umesema vizuri kuwa kuna wanaume wana adabu zao. So why not choose these you ladies??!!

cc atoto

Hao wanaume wenye adabu zao katika kumi kumpata moja ni kwa tabu sana
 
Last edited by a moderator:

Hujampata wa kukuchapa nao
mbona utasahauu tu
wewe ni mama uchungu wa kujifungua waujua lakini bado uliendelea kuchapwa

ipe muda utasahau...usijudhulumu nafsi kwa kutochapwa mjebele.
 
Hao wanaume wenye adabu zao katika kumi kumpata moja ni kwa tabu sana

Hata wife material ni adimu hivyo hivyo kama walivyo adimu wanaume wa maana. So ni kushirikisha zaidi akili yako huku ukimuomba Mungu akupatie huyo huyo wa maana
 
Hata wife material ni adimu hivyo hivyo kama walivyo adimu wanaume wa maana. So ni kushirikisha zaidi akili yako huku ukimuomba Mungu akupatie huyo huyo wa maana

Well said katika mahusiano kumshirikisha MUNGU ni jambo la muhimu sana hata kama uhusiano ni mchanga
ili kama siyo chaguo lako sahihi MUNGU akuonyeshe mapemaaa kuepuka machozi
 

Pole sana, na maradhi ya siku hizi bora umuombee ukiwa pembeni asije akasababisha mkaiongezea jamii yatima.
Tatizo wanawake wengi dalili mbaya tunazisikia hatuchunguzi hivyo hata hatua ya kuomba haifikiwi. .. tena mtu akikwambia unamuona mbaya au kwamba anamtaka bwana ako iwapo ni mwanamke.
Hapo angalia watoto tu, addiction haiponi kirahisi kwa wanaume hasa aina aliyonayo mumeo mpk Mungu aingilie kati. Na wengi wanaamka wakiwa wameshaharibu mambo mengi, na wamepata madhara tayari ndo wanaanza kutia huruma.
Mungu akusaidie, usikate tamaa kuomba kwa ajili ya familia yako hasa watoto maana watoto wa malaya hulipia gharama za tabia za wazazi wao...lawama za waliotendewa ubaya na uchafu wa wazazi wao huleta laana.
 
Asante sn pesandogo. Ubarikiwe ninafanyia kazi ushauri wenu.
 
Last edited by a moderator:

Pole sana, tangu akuoe wewe iliwahi kumsaliti mara ngapi?
 

Wakat mwingine unaweza fanya right choice akaja badilika badae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…