Sitalisahau fao la kujitoa

Sitalisahau fao la kujitoa

Ndio CCM ile inayotolewa takwimu kupendwa na Watanzania walio wengi. Wabunhe wa CCM tuipendayo ndio wamepitisha hii. Hao ndio wawakilishi wetu wanafanyanyale tuliowatuma. Kwahiyo tupambane na hali zetu tu.
 
Mkuu bonus huwa haziingii humo, ni mshahara wako tu ndo unamakato ya NSSF labda uniambie na wewe ulikuwa unajipelekea za kwako, lakini hata hivyo isingekuja figure hiyo ya desmali
Amin anachokuambia,
Kuna Salary increment pia kama unakataa bonus ingawa hua inaingia. Wewe umechukua average that can be any number.

By the way perhaps miaka mitano aliyosema ni estimates, not 60 months exactly, yaweza kuzid au kupungua kidogo. So usibishe mkuu
 
Alafu uzi kama huu maccm hayaonekani kabisa.
Alafu nachojiuliza hawa wakina jingalao na wengine wenye akili kama yao huwa hayawakuyi mabaya ya serikali hii hii? Au wanalia kwa siri tu?
 
Kwahiyo unataka utuambie ulikuwa kwa mwezi unalipwa 1083333.3334? Bila shaka kuna sehemu umetudanganya kwenye kiwango cha mafao yako
Mkuu kwani hiyo ni pesa mingi sana mtu kulipwa kwa mwezi kwenye sekta binafsi? Mbona mimi nilikuwa nachukua zaidi ya hiyo kwa mwezi.
 

Wewe ndio mnyonge na hii ndio serikali yako. Itakusaidia kwasababu serikali isiyo ya wanyonge ndio ilifanya hayo.​
 
Yaan mimi nikiona anazindua kitu chochote huwa nazikumbuka sana.
Kwa wale wamekuwa wakifanya kazi sector binafsi watakubaliana na mm kuwa fao la jujitoa ilikuwa mkombozi mkubwa kwa vijana.
Binafsi nimemaliza chuo 2009 na mwaka huohuo nikakaanza kazi ksmpun moja hivi. Baada ya miska mitano nikaacha, nikachukua mzigo wangu m13,nikafanya mipango yangu yote vizuri, nikapata kazi srhm nyngine hadi 2017, mzigo wote umestuck baada ya sheria kubadirika. Siwez tena kutoa hela yote iliyopo.
Kiukweli kwa kazi za sector bnafsi utaratibu huu mpya ni changamoto sana maana watu wengi wamekuwa wakitumia pesa za fao la kujitoa kuanzisha hiashara, kuendeleza biashara, kumalizia nyumba, nk.
Toka ile sku wabunge wamepitisha mswaada ule nimewachukia na kuona sina hata mmoja wa kumsapot masna vijana hii inatuumiza sana.
 
Huu ni mpango mbovu thidi ya waajiliwa na hatma Ya ndoto zao. Malengo ya kumiliki kiwanda cha kuzalisha karatasi imeshaniyeyuka.
 
Usiseme wabunge, malizia kabisa "Wabunge wa CCM" ndio waliopitisha
 
Kwa wale wamekuwa wakifanya kazi sector binafsi watakubaliana na mimi kuwa fao la kujitoa ilikuwa mkombozi mkubwa kwa vijana.

Binafsi nimemaliza chuo 2009 na mwaka huo huo nikakaanza kazi kampuni moja hivi. Baada ya miaka mitano nikaacha, nikachukua mzigo wangu m13,nikafanya mipango yangu yote vizuri, nikapata kazi sehemu nyingine hadi 2017, mzigo wote umestuck baada ya sheria kubadilika. Siwezi tena kutoa hela yote iliyopo.

Kiukweli kwa kazi za sector binafsi utaratibu huu mpya ni changamoto sana maana watu wengi wamekuwa wakitumia pesa za fao la kujitoa kuanzisha biashara, kuendeleza biashara, kumalizia nyumba, nk.

Toka ile siku wabunge wamepitisha mswada ule nimewachukia na kuona sina hata mmoja wa kumsapoti masna vijana hii inatuumiza sana.
Kikubwa ilikuwa kutafuta wanansheria wazuri waende mahakamani ili kipengele hicho kifutwe, kulalamika huku hakutoi majibu
 
Mm pia nilipanga kuanzisha biashara nikishachukua mafao yangu NSSF ila ikashindikana baada ya serikali yetu pendwa ya wanyonge kutupola hela zetu kinguvu.

Nipo naugulia maumivu ya kuwa mwananchi kwny hii inchi sina option zaidi ya kuanza kutafuta ajira upya.

Hii inatuumiza sana hasa sisi wananchi masikini tulio wengi
 
Mkuu bonus huwa haziingii humo, ni mshahara wako tu ndo unamakato ya NSSF labda uniambie na wewe ulikuwa unajipelekea za kwako, lakini hata hivyo isingekuja figure hiyo ya desmali

hujawai kuajiriwa nini??? wanakata mpaka bonus. hata overtime nayo wanakata..

nssf haikuwa fixed.. siku nyingine unakatwa nyingi kama una bonus. siku nyingine unakatwa kawaida tu... yenyewe inafata parcent yake kwenye gross ya huo mwezi
 
Msaada mkubwa unaoweza kumsaidia binadamu yeyote ni "KUMHESHIMU TU"
Unapomheshimu mtu unakuwa umemwekea msingi mzuri wa maisha yake, na pia ni kama umemfungulia milango ya kufanikiwa katika jambo lolote lile analotaka kufanya kwake na jamii inayomzunguka..,
Tuwe na mitazamo "chanya" juu ya wale wanaotuzunguka hilo ndilo jambo ambalo "MUNGU" anataka tuwe nalo.
KUHESHIMIANA BILA KUJALI UMRI, KAZI, DINI RANGI, KABILA, ELIMU, MAVAZI, VYEO nk,,NI JAMBO LA MUHIMU.
 
Nimeshangaa mshahara wenye figurue hiyo, yaani mshahara una vinamba vya ajabu hivyo...haijaniingia akilini
Huyo aliyegawanya akapata figure za decimal ndo awajibu maana makato ya mifuko huwa yana varie kulingana na mshahara unavyocheza. So yy kakariri kama ni 1,2000,000 labda hiyo hiyo. Wakati kama OT ipo mzigo unapaa na makato ya mifuko yanapaa
 
Back
Top Bottom