Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,561
- 16,339
acha uongo we jamaa, ila uache ujinga yaani dunia ina watu billioni 7 unakaa kuumizwa na mtu mmoja kiasi utake kujirestisha in peace?nakumbuka nilitembea kwa mguu mikoa kadhaa

Pole mkuu. Tafuta pesa pesa pesa mfanye pesa awe ndo demu wako wa ukweli huyo mbona utamsahau tu?
Sent using Jamii Forums mobile app