chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,146
- 2,338
Uliniacha baada ya mambo yangu kuyumba na kukosa ajira. ukapata jamaa mwingine mwenye kazi nzuri na handsome.
Nakumbuka nilitoa machozi kwa ajili yako ukasema umeona wengi wakilia. nakumbuka nilitembea kwa mguu mikoa kadhaa kuja kukuona ukasema niachane na wewe.
Huwa nikikumbuka nakosa nguvu najua by the way sina siku nyingi za kuishi maana duniani tunapita. i wish you good life.