Sitakula tena nyama za baa


Na nyie mlichukua 250,000
 
Ng'ombe kafa na ninyi ndio mliowaelekeza wamaasai wapi pa kuupata mzoga wake...

Lakini lawama wanabeba wamaasai
 
Aliyetakiwa kuwa na huruma ni wewe kabla ya wafanyabiashara unaowasingizia, mlijua nyama haitakiwi kuliwa sasa ikawaje mkampeleka mmasai mpaka mlipotupa ng'ombe mkijua ataenda kulisha watu?, na bado hela ya soda elfu 50 mkachukua
 
Makosa yako kumtupa tu ilibidi azikwe
Kama mganga angejulishwa naona angesimamia zoezi lote
 
MBNA hio Ni kawaida Sana Kuna RAIA flan Kama mwaka 2010 hivi alizikwa mchana usiku wakaenda kumfukua n'gombe wakachuna nyama wakaenda kuuza
 
Mi naona wewe ndio mwenye tatizo ,ng'ombe amefariki na bado unamuuza?Kwani hukujua kwamba ukimuuza nini kinafuata?
 
Wewe ndio huna utu ungetakiwa huyo ng'ombe mumwagie mafuta ya taa na kuchoma kuliko kuuza vibudu kwa watu wengine
 
Kosa liko kwenu mulitakiwa mumfukie siyo kumtupa tu porini.
 
Achaa uwongo kurongosheaaa masaai....kwani msimzikee mkamtupeee.si kabila letu Kuna baadhi ya baba zangu wanakula mizogaaaa
 
Enyi wafanyabiashara wenzangu tuwe na huruma na maisha ya watu pesa zinaisha ila uhai wa mtu ukienda haurudi

Enyi wafugaji Pindi mifugo yenu ikifa Kwa Ugonjwa muwe mnaifukia chini ya ardhi ili kupunguza maambukizi ya hayo maradhi Kwa mifugo wengine hata Kwa wanadamu pia.. Msiwe mnatupa tu mizoga
 
Enyi wafugaji Pindi mifugo yenu ikifa Kwa Ugonjwa muwe mnaifukia chini ya ardhi ili kupunguza maambukizi ya hayo maradhi Kwa mifugo wengine hata Kwa wanadamu pia.. Msiwe mnatupa tu mizoga
Watu wanafukua
 
Wangemfukua tu

kumfukua ni process ambayo inaweza kuwaletea shida katikakati ya zoezi kuliko kutupa ambapo wataokota tu na wanaweza hata kufika na kuchinja ukawakuta wanachuna tu..

Lakini pia tufuate taratibu za kuangamiza vitu kama hivi mwisho wa siku...
 
Kwa hiyo unachojaribu kutueleza ni namna gani ulivyo bogus kula njama na huyo masai na muuza supu kuuzia watu nyama ambayo si salama kwa walaji, au nimekuelewa tofauti?
 
Ila kwanini utupe. Ungechuna ngozi ikauzwe. Halafu hiyo nyama ungeuza kwa wafuga mbwa mbali mbali.... Mwangewapikia mbwa wao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…