Ujinga tu huu!
Siwezi kuacha kula niwasapoti wahuni wanaotumiwa na vyama vya siasa kwa maslahi binafsi.
Badilikeni acheni kutekwa kirahisi hivyo!
Umeshiba Wewe kunywa Maji ukalale. Huna lolote. Kufunga kwako kwa hilo Jambo unajiumiza tu. Unaambulia dhambi tu. Jifunze kutii Sheria bila shurti. Nikutakie kheri ya Mwaka Mpya.Nimewaona vijana walitembea toka Geita hadi Dar kwa miguu, wakiwa wamevaa magunia katika kituo cha ITV. Nimesikia maneno yao na rafudhi zao, ni kweli ni watoto wa Tanzania kanda ya ziwa. Nimeona sura zao, zinawakilisha uwiano sahihi wa maneno na mioyo yao.
Maombolezo yao ni ya dhati. Wana uchungu na nchi yao. Wanajua nafasi yao katika taifa. Kwamba wazee wamechoka, wao ndio walinzi wa taifa. Wanahitaji kuonana na watawala. Watawala hawapo pamoja na watu. Wako busy na anasa. Wanakula, wanakunywa, na kulala usingizi mnono. Wakijua wako salama. Wanalindwa kwa bunduki na majeshi. Hawawakumbuki watanzania maskini wanaokufa na kupoteza mwelekeo wa vizazi vyao.
Watanzania hawa, hawana mtu wa kuwasaidia. Wakitaka kuonana na watawala ili waeleze hoja z.ao, wanaishia mikononi mwa polisi. Polisi ambao ndio walinzi wa watawala dharimu.
Wakiandika bila kuonekana wanapuuzwa. Wanaishia kudharauriwa kwamba ni wavuta bangi, wahuni, wasio kuwa n ahaki ya kuishi. Lakini ajabu, kodi zao zinachukuliwa na kama haitoshi wanalazimishwa kuchangia michango kwa nguvu bila ridhaa ili kuwanufaisha watawala. waliojipa uteule na haki ya kuishi maisha ya anasa milele.
Wakijaribu kupinga kelele, wanauawa na polisi. Polisi waliosahau kwamba hakuna udharimu na unafiki ulioleta usalama pale mabaya yanapokuja.
Mimi nimeamua kuungana na vijana hawa. Popote watakapokuwa, katika hali yoyote watakayokuwa nayo, na mazingira yoyote, nitakuwa nayo. Sintakula kwa siku tatu kuanzia kesho.
Naomba kama kuna mwingine anapenda kuwaunga mkono, naomba tuungane nao kwa namna yoyote inayowezekana. Hatuwezi sote kutembea kwa miguu lakini Mungu anaijua vizuri sadaka ya mioyo yetu kwa ajili ya vijana hawa na taifa.
Wale watakaoweza kufanya maombi ya kufunga, fungeni.
Watakao weza kuomba kwa Mungu bila kufunga kwa utaratibu maalumu kw aajili ya vijana hawa na taifa, ombeni. Hatutawasiliana namna na maneno ya kuomba. Roho Mtakatifu anayeomba kwa kuugua kusikoweza kutamkwa atamwongoza kila mmoja wetu nini cha kuomba mahala popote pale alipo ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
Tangu Tanzania iwepo, hakujatokea tukio kubwa la na la kizalendo kama hili la hawa vijana. Kiongozi mwenye akili hata kama si zotoe, alipaswa kuwa amelitambua na kutoa amri kwa watendaji wake kuwaacha ili apate kusema nao.
Tanzania ni yetu, itakombolewa na sisi.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu wabariki vijana wazalendo.
Kuna haja ya kufunga kwa dhati kabisa.[/QUOTE
Mzee wa magunia. Kheri ya Mwaka Mpya
mim NAWAITA HAWA VIJANA NI KAKAKUONA RAIS WETU USIWARUHUSU HATA KIDOGO HAWA VIJANA WAHUNI WASIO NA UWEZO WA KUFIKILI EBU FIKILI MTANZANIA MIMI MWENYEWE NI KIJANA LAKINI KWA HAWA WAHUNI PLZ MH JK FUNGA GETI
KWANZA HAWA VIJANA WAMEBEBA BENDERA ZA CHADEMA SIKATAI NI HAKI YAO LAKINI WANATAKA KUTUAMINISHA KUWA WALIMCHAGUA RAIS JK KWAHIYO WAMEKUJA KUZUNGUMZA NAYE JAMANI HAWA WAHUNI WAKUBWA WANAUDANGANYA UMA JK PLZ USIFUNGUE GETI WAHUNI WAKAGUSA IKULU TAKATIFU
PILI NI MIAKA KUMI SASA IMEPITA TANGU JK AWE RAIS SIKUZOTE WALIKUWA WAPI? LEO WANAKUJA NA KUANZAKUMSUMBUA RAIS KWA MAMBO YA KIJINGA ILI WAPATE UMAALUFU AMBAO SOON WATAJUTA KWA NINI WAMEFANYA.
TATU RAIS JK KUWARUHUSU HAWA WAHUNI UTAKUWA UMEFUNGULIA MAGENGE YA WAHUNI WAKIDAI WAMEKUJA KUONGEA NA WEWE HII ITASABABISHA MUDA WAKO WA KUTEKELEZA MAJUKUMU KWA MUDA HUU MDOGO ULIO BAKI KUPOTEA BULE
MWISHO NAOMBA KUTOA RAI KWA VIJANA WA TANZANIA RAIS WETU NI MSIKIVU SANA NA ANAPENDA VIJANA ILA KAMA KIJANA UNAZANIA UTATABEBA UTAIFA UKU UKIWA UMEBEBA BENDERA YA CHAMA FULANI HII ITAKUWA NI KUTUTUKANA VIJANA WOTE WA TZ KWANI TANZANIA INAVIJANA WENGI NA WENYE ITIKADI TOFAUTI HATA VIJANA WA CCM NA VYAMA VINGINE WANGEPENDA KUMUAONA RAIS ATATUE MATATIZO YAO.
HIVYO NINA AMINI KABISA BILA HATA KUWA NA SHAKA KWAMBA HAWA VIJANA WAMETUMWA NA CHADEMA NA SI VIJANA WALIO BEBA UTAIFA NA HILI LITAJIZIHILISHA KESHO AMBAPO VIJANA WENGINE WA CHADEMA WATAJITOKEZA NA KUFANYA FUJO NA MALENGO YAO KUFA KABISAA AHSANTENI.
ndo umeandika uchafu gani huu
Nimewaona vijana walitembea toka Geita hadi Dar kwa miguu, wakiwa wamevaa magunia katika kituo cha ITV. Nimesikia maneno yao na rafudhi zao, ni kweli ni watoto wa Tanzania kanda ya ziwa. Nimeona sura zao, zinawakilisha uwiano sahihi wa maneno na mioyo yao.
Maombolezo yao ni ya dhati. Wana uchungu na nchi yao. Wanajua nafasi yao katika taifa. Kwamba wazee wamechoka, wao ndio walinzi wa taifa. Wanahitaji kuonana na watawala. Watawala hawapo pamoja na watu. Wako busy na anasa. Wanakula, wanakunywa, na kulala usingizi mnono. Wakijua wako salama. Wanalindwa kwa bunduki na majeshi. Hawawakumbuki watanzania maskini wanaokufa na kupoteza mwelekeo wa vizazi vyao.
Watanzania hawa, hawana mtu wa kuwasaidia. Wakitaka kuonana na watawala ili waeleze hoja z.ao, wanaishia mikononi mwa polisi. Polisi ambao ndio walinzi wa watawala dharimu.
Wakiandika bila kuonekana wanapuuzwa. Wanaishia kudharauriwa kwamba ni wavuta bangi, wahuni, wasio kuwa n ahaki ya kuishi. Lakini ajabu, kodi zao zinachukuliwa na kama haitoshi wanalazimishwa kuchangia michango kwa nguvu bila ridhaa ili kuwanufaisha watawala. waliojipa uteule na haki ya kuishi maisha ya anasa milele.
Wakijaribu kupinga kelele, wanauawa na polisi. Polisi waliosahau kwamba hakuna udharimu na unafiki ulioleta usalama pale mabaya yanapokuja.
Mimi nimeamua kuungana na vijana hawa. Popote watakapokuwa, katika hali yoyote watakayokuwa nayo, na mazingira yoyote, nitakuwa nayo. Sintakula kwa siku tatu kuanzia kesho.
Naomba kama kuna mwingine anapenda kuwaunga mkono, naomba tuungane nao kwa namna yoyote inayowezekana. Hatuwezi sote kutembea kwa miguu lakini Mungu anaijua vizuri sadaka ya mioyo yetu kwa ajili ya vijana hawa na taifa.
Wale watakaoweza kufanya maombi ya kufunga, fungeni.
Watakao weza kuomba kwa Mungu bila kufunga kwa utaratibu maalumu kw aajili ya vijana hawa na taifa, ombeni. Hatutawasiliana namna na maneno ya kuomba. Roho Mtakatifu anayeomba kwa kuugua kusikoweza kutamkwa atamwongoza kila mmoja wetu nini cha kuomba mahala popote pale alipo ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
Tangu Tanzania iwepo, hakujatokea tukio kubwa la na la kizalendo kama hili la hawa vijana. Kiongozi mwenye akili hata kama si zotoe, alipaswa kuwa amelitambua na kutoa amri kwa watendaji wake kuwaacha ili apate kusema nao.
Tanzania ni yetu, itakombolewa na sisi.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu wabariki vijana wazalendo.
Mungu awalinde.
Hoja yako ni nzuri wazalendo tuwaunge mkono vijana wenzetu. nchi hii ina utajiri mwingi lakini mafisadi wachache wanasomba kila kitu na kuhamishia nje...very sad
Umeshiba Wewe kunywa Maji ukalale. Huna lolote. Kufunga kwako kwa hilo Jambo unajiumiza tu. Unaambulia dhambi tu. Jifunze kutii Sheria bila shurti. Nikutakie kheri ya Mwaka Mpya.
Raslimali na muda waliopoteza kufanya haya maigizo wangeweza kujenga hata kisima cha maji huko kijijini kwao! Wahuni sio watu!
Mungu yupi Allah au Yesu!
Umeshiba Wewe kunywa Maji ukalale. Huna lolote. Kufunga kwako kwa hilo Jambo unajiumiza tu. Unaambulia dhambi tu. Jifunze kutii Sheria bila shurti. Nikutakie kheri ya Mwaka Mpya.
mim NAWAITA HAWA VIJANA NI KAKAKUONA RAIS WETU USIWARUHUSU HATA KIDOGO HAWA VIJANA WAHUNI WASIO NA UWEZO WA KUFIKILI EBU FIKILI MTANZANIA MIMI MWENYEWE NI KIJANA LAKINI KWA HAWA WAHUNI PLZ MH JK FUNGA GETI
KWANZA HAWA VIJANA WAMEBEBA BENDERA ZA CHADEMA SIKATAI NI HAKI YAO LAKINI WANATAKA KUTUAMINISHA KUWA WALIMCHAGUA RAIS JK KWAHIYO WAMEKUJA KUZUNGUMZA NAYE JAMANI HAWA WAHUNI WAKUBWA WANAUDANGANYA UMA JK PLZ USIFUNGUE GETI WAHUNI WAKAGUSA IKULU TAKATIFU
PILI NI MIAKA KUMI SASA IMEPITA TANGU JK AWE RAIS SIKUZOTE WALIKUWA WAPI? LEO WANAKUJA NA KUANZAKUMSUMBUA RAIS KWA MAMBO YA KIJINGA ILI WAPATE UMAALUFU AMBAO SOON WATAJUTA KWA NINI WAMEFANYA.
TATU RAIS JK KUWARUHUSU HAWA WAHUNI UTAKUWA UMEFUNGULIA MAGENGE YA WAHUNI WAKIDAI WAMEKUJA KUONGEA NA WEWE HII ITASABABISHA MUDA WAKO WA KUTEKELEZA MAJUKUMU KWA MUDA HUU MDOGO ULIO BAKI KUPOTEA BULE
MWISHO NAOMBA KUTOA RAI KWA VIJANA WA TANZANIA RAIS WETU NI MSIKIVU SANA NA ANAPENDA VIJANA ILA KAMA KIJANA UNAZANIA UTATABEBA UTAIFA UKU UKIWA UMEBEBA BENDERA YA CHAMA FULANI HII ITAKUWA NI KUTUTUKANA VIJANA WOTE WA TZ KWANI TANZANIA INAVIJANA WENGI NA WENYE ITIKADI TOFAUTI HATA VIJANA WA CCM NA VYAMA VINGINE WANGEPENDA KUMUAONA RAIS ATATUE MATATIZO YAO.
HIVYO NINA AMINI KABISA BILA HATA KUWA NA SHAKA KWAMBA HAWA VIJANA WAMETUMWA NA CHADEMA NA SI VIJANA WALIO BEBA UTAIFA NA HILI LITAJIZIHILISHA KESHO AMBAPO VIJANA WENGINE WA CHADEMA WATAJITOKEZA NA KUFANYA FUJO NA MALENGO YAO KUFA KABISAA AHSANTENI.
Mpumbavu mmoja kati ya hawa wavaa magunia, anasema kuwa kuwa alimchagua KIKWETE ila sio mkuu wa wilaya!
Sasa kama alimuamini Kikwete kwanini asiamini uteuzi wake kwa mkuu wa wilaya ya KINONDONI? Hawa vijana ni wahuni tu ndio maana maneno ya kishezi hayakauki vinywani mwao! Wangekuja ARUSHA wangeipata Fresh!
Arusha uko na wahuni wenzako wale wavuta bangiMpumbavu mmoja kati ya hawa wavaa magunia, anasema kuwa kuwa alimchagua KIKWETE ila sio mkuu wa wilaya!