chinkychinky
Member
- Sep 24, 2020
- 18
- 170
Kiukweli siwapendi wanaume wenye pesa awana utu kabisa wamejaa kiburi sana usaliti ,dharau Awana mapenzi ya dhati kabisa kwakuwa wanajiona wanauwezo wa kupata mwanamke yoyote wamtakaye wamekuwa wakibadilisha wanawake kama nguo unakuta mwanaume mmoja ana wanawake kama wote wamekuwa chanzo cha kueneza magonjwa. Wanajiona dunia ni yakwao kwakuwa wanaweza fanya chochote kwa kutumia pesa zao.
Wanatumia mapungufu ya wanawake kupenda pesa ndo maan wanawatumia watakavyo. Wanawake pigeni kazi ukiwa na kipato chako ilo gari alilokuwa nalo utakuwa nalo nyumba sijui nn vyote vinatafutwa ukitafuta na kumtegemea mungu kwa Imani anakupa na unapata mwanaume wake mstaarabu mwenye hofu ya Mungu.
Heri kuwa na mwanaume masikini mwenye hofu ya mungu kuliko kuwa na mwanaume tajiri mweny hofu ya shetani anakuwa kama Bata maji Kila shimo la maji lazima atumbukize miguu alafu awaridhiki.