Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,063
- 54,342
hao wakiume wakiwa mashoga? malezi ni changamoto na haijalishi una watoto wa kike au wa kiume.
Naunga mkono hoja.
hao wakiume wakiwa mashoga? malezi ni changamoto na haijalishi una watoto wa kike au wa kiume.
wakati ukiomba kuwithdraw ombi lako, jiulize hao watoto wako wa kiume unawaleaje?
Usije ukajikuta unakufuru...
Muombe Mungu akupe hekima ya kulea watoto wako hao wakiume....wanaweza kugeuka kuganya mambo ya ajabu ukatamani watoto wakike.........
Kwenye malezi muombe Mungu hekima, ombea watoto wako pia....
Wewe umejuaje? na kwani huyo binti anakunwa na binti mwenzie? hivi tatizo ni binti tu kukunwa na si wale wakunaje nao ni tatizo? huu mfumo dume bana umetuasiri sana, kama ukosefu wa maadili ni wote wawili. We have long way to go.
Museven, kuna kitu bado umesahau kwenye equation yako. Umesema huyo binti analiwa na kavulana meaning there are two people; a girl and boy. Lakini malalamiko yako ni kuhusu upande mmoja wa huyo binti, vipi kuhusu huyo kijana? Mihemko inayowapata watoto wa kiume huwa pia upande wa wasichana lakini mila zetu sisi Afrika na hasa Tanzania zimetupumbaza kuwa it is ok kwa mtoto wa kiume kufanya analotaka lakini wa kike ni tabia mbaya! It takes two to tangle.Nina watoto 2 wa kiume na nilishapeleka request kwa Sir God anipe mtoto wa kike lakini kwa haya niliyoona leo, nawaza kuwithdral request yangu! Imekaa hivi:
Jirani yangu ana binti (ni mwanafunzi wa sekondari). Jirani huyu na mkewe wanajitahidi sana kumlea binti yao kimaadili lakini kumbe binti "analiwa" na kavulana fulani mtaa wa pili. Leo asubuhi Mama yake kaenda kanisani misa ya kwanza, akamuacha bintiye nyumbani na baba yake. Kumbe leo alikumbuka kukunwa lakini akashindwa namna ya kumtoroka baba yake. Alichofanya, alijiandaa vizuri ati anaenda misa ya pili. Na akawahi ili afike kanisani kabla hawajatoka misa ya kwanza. Kwa kuwa anajua mama hupenda kukaa benchi gani kanisani, akaenda kukaa benchi la mbele yake ili mama amwone, na kweli mama akamwona. Mama alitoka kanisani na kurudi nyumbani akijua binti anasali misa ya pili kwa kuwa alimwona. Kumbe huku nyuma binti alikuwa anamchabo mama anakoishilia. Akachomoka zake na kwenda kukunwa. Hivi ninavyoandika, demu ana kama saa 1:30 ghetoni kwa dogo!Jamani waungwana, kuna ubaya kama nikiwithdraw ombi langu la kupata mtoto wa kike? Maana nahisi yatanikuta kama haya! Inauma sana wazazi!
Wakunaji huitwa 'vidume', marijali', tena mbaba akiona kijana wake ana kibinti anachekelea kuwa 'mwanaume' huyo......... its a shame,....
Mkuu je ukija kukuta mtoto wako wakiume kakamatiwa na linjemba utasema uzai tena?Nina watoto 2 wa kiume na nilishapeleka request kwa Sir God anipe mtoto wa kike lakini kwa haya niliyoona leo, nawaza kuwithdral request yangu! Imekaa hivi:
Jirani yangu ana binti (ni mwanafunzi wa sekondari). Jirani huyu na mkewe wanajitahidi sana kumlea binti yao kimaadili lakini kumbe binti "analiwa" na kavulana fulani mtaa wa pili. Leo asubuhi Mama yake kaenda kanisani misa ya kwanza, akamuacha bintiye nyumbani na baba yake. Kumbe leo alikumbuka kukunwa lakini akashindwa namna ya kumtoroka baba yake. Alichofanya, alijiandaa vizuri ati anaenda misa ya pili. Na akawahi ili afike kanisani kabla hawajatoka misa ya kwanza. Kwa kuwa anajua mama hupenda kukaa benchi gani kanisani, akaenda kukaa benchi la mbele yake ili mama amwone, na kweli mama akamwona. Mama alitoka kanisani na kurudi nyumbani akijua binti anasali misa ya pili kwa kuwa alimwona. Kumbe huku nyuma binti alikuwa anamchabo mama anakoishilia. Akachomoka zake na kwenda kukunwa. Hivi ninavyoandika, demu ana kama saa 1:30 ghetoni kwa dogo!Jamani waungwana, kuna ubaya kama nikiwithdraw ombi langu la kupata mtoto wa kike? Maana nahisi yatanikuta kama haya! Inauma sana wazazi!
wewe umejuaje mazungumzo kati ya baba na mwanae? maana unavyotoa maelezo ni kama ulikuwepo
Nina watoto 2 wa kiume na nilishapeleka request kwa Sir God anipe mtoto wa kike lakini kwa haya niliyoona leo, nawaza kuwithdral request yangu! Imekaa hivi: