Sitaki wa kike...!

wakati ukiomba kuwithdraw ombi lako, jiulize hao watoto wako wa kiume unawaleaje?
Usije ukajikuta unakufuru...
Muombe Mungu akupe hekima ya kulea watoto wako hao wakiume....wanaweza kugeuka kuganya mambo ya ajabu ukatamani watoto wakike.........

Kwenye malezi muombe Mungu hekima, ombea watoto wako pia....

Pamoja sana mkuu.
 
Usi withdraw ila mjenge mwanao ktk maadili mema na kuheshimu amri kumi za mungu kamwe hatovunja.
 
Wewe umejuaje? na kwani huyo binti anakunwa na binti mwenzie? hivi tatizo ni binti tu kukunwa na si wale wakunaje nao ni tatizo? huu mfumo dume bana umetuasiri sana, kama ukosefu wa maadili ni wote wawili. We have long way to go.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Wakunaji huitwa 'vidume', marijali', tena mbaba akiona kijana wake ana kibinti anachekelea kuwa 'mwanaume' huyo......... its a shame,....

Nina watoto 2 wa kiume na nilishapeleka request kwa Sir God anipe mtoto wa kike lakini kwa haya niliyoona leo, nawaza kuwithdral request yangu! Imekaa hivi:

Jirani yangu ana binti (ni mwanafunzi wa sekondari). Jirani huyu na mkewe wanajitahidi sana kumlea binti yao kimaadili lakini kumbe binti "analiwa" na kavulana fulani mtaa wa pili. Leo asubuhi Mama yake kaenda kanisani misa ya kwanza, akamuacha bintiye nyumbani na baba yake. Kumbe leo alikumbuka kukunwa lakini akashindwa namna ya kumtoroka baba yake. Alichofanya, alijiandaa vizuri ati anaenda misa ya pili. Na akawahi ili afike kanisani kabla hawajatoka misa ya kwanza. Kwa kuwa anajua mama hupenda kukaa benchi gani kanisani, akaenda kukaa benchi la mbele yake ili mama amwone, na kweli mama akamwona. Mama alitoka kanisani na kurudi nyumbani akijua binti anasali misa ya pili kwa kuwa alimwona. Kumbe huku nyuma binti alikuwa anamchabo mama anakoishilia. Akachomoka zake na kwenda kukunwa. Hivi ninavyoandika, demu ana kama saa 1:30 ghetoni kwa dogo!Jamani waungwana, kuna ubaya kama nikiwithdraw ombi langu la kupata mtoto wa kike? Maana nahisi yatanikuta kama haya! Inauma sana wazazi!
Museven, kuna kitu bado umesahau kwenye equation yako. Umesema huyo binti analiwa na kavulana meaning there are two people; a girl and boy. Lakini malalamiko yako ni kuhusu upande mmoja wa huyo binti, vipi kuhusu huyo kijana? Mihemko inayowapata watoto wa kiume huwa pia upande wa wasichana lakini mila zetu sisi Afrika na hasa Tanzania zimetupumbaza kuwa it is ok kwa mtoto wa kiume kufanya analotaka lakini wa kike ni tabia mbaya! It takes two to tangle.

Vipi kama hao watoto wako wa kiume wangekuwa/watakuwa wanafanya kama hako kavulana kalikokuwa na huyo binti?
 
Last edited by a moderator:
Wakunaji huitwa 'vidume', marijali', tena mbaba akiona kijana wake ana kibinti anachekelea kuwa 'mwanaume' huyo......... its a shame,....

Hahahaaaa..It is a shame tena wakiona wyuko mbali na wadada watakuwa na wasiwasi huenda si riziki....swali ni kwamba mtu huwa rijali, kidume na nani? dume mwenzake? hizi akili tulizo nazo?
 
ila hii habari mtoa thread amesimama kama nani mana alianza kumchunguza toka nyumbani alipokuwa na mshua alivyoondoka alipoingia kanisani na kukaa siti ya mbele kwa mama yake alipotoroka na kwenda maghetoni na mpaka saa hyo 1:30 ulikuwa unamchunguza au na wewe ulikuwa unakafukuzia nini?????????????/ mana nawe kinaunau!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nina watoto 2 wa kiume na nilishapeleka request kwa Sir God anipe mtoto wa kike lakini kwa haya niliyoona leo, nawaza kuwithdral request yangu! Imekaa hivi:

Jirani yangu ana binti (ni mwanafunzi wa sekondari). Jirani huyu na mkewe wanajitahidi sana kumlea binti yao kimaadili lakini kumbe binti "analiwa" na kavulana fulani mtaa wa pili. Leo asubuhi Mama yake kaenda kanisani misa ya kwanza, akamuacha bintiye nyumbani na baba yake. Kumbe leo alikumbuka kukunwa lakini akashindwa namna ya kumtoroka baba yake. Alichofanya, alijiandaa vizuri ati anaenda misa ya pili. Na akawahi ili afike kanisani kabla hawajatoka misa ya kwanza. Kwa kuwa anajua mama hupenda kukaa benchi gani kanisani, akaenda kukaa benchi la mbele yake ili mama amwone, na kweli mama akamwona. Mama alitoka kanisani na kurudi nyumbani akijua binti anasali misa ya pili kwa kuwa alimwona. Kumbe huku nyuma binti alikuwa anamchabo mama anakoishilia. Akachomoka zake na kwenda kukunwa. Hivi ninavyoandika, demu ana kama saa 1:30 ghetoni kwa dogo!Jamani waungwana, kuna ubaya kama nikiwithdraw ombi langu la kupata mtoto wa kike? Maana nahisi yatanikuta kama haya! Inauma sana wazazi!
Mkuu je ukija kukuta mtoto wako wakiume kakamatiwa na linjemba utasema uzai tena?
 
wewe umejuaje mazungumzo kati ya baba na mwanae? maana unavyotoa maelezo ni kama ulikuwepo

Nami ninejiuliza swali kama hilo,mkuu kwa jinsi alivyosimulia ni kama vile alikuwa anamfuatilia huyo binti nyuma nyuma,na muda ambao huyo binti ameutumia kukunwa anaujua kama vile anakula chabo au yeye ndio kamshikia jamaa miguu
 
Hivi wakati huyo binti anafanya yote hayo wewe ulikua unamfuatilia au?punguza udaku bwana!
 
Gear nyingine za kutokea home kwenda ku_du hazifai, na hili linatumiwa sana na mabinti wengi. Especially wauza maduka ya nyumbani, wanafunzi, wanaofanya kazi salun na mama zao etc. Wanatumia hii jumapili sana kutimiza adhima zao.
 
Stori ya kuingia kanisani, kukaa benchi la mbele ya mamake na kutoka umeipatia wapi? Nyumba yenu haina ceiling board?
 
hivi kumbe watoto wenu wakiliwa mnaumia eeh! kwanini wakati hiyo ndio kazi yake? na je wewe umeoa nani kama si cha kike?

kaka usjitakie laana acha Mungu akupe watoto kutokana na anavyojua kuwa wewe utaweza kuwalea/kuwatunza. waweza kuomba wa kike kumbe Mungu keshakusoma akajua huwez mtunza ila kwa kuwa yeye huwa huwa anajibu haja za moyo wenu atakupa baada ya muda kazi inaanza i believe katika Kupewa na Mungu zaid hasa watoto kwa kadiri yeye atakavyo wala siyo mimi nitakavyo.Daima kwangu huwa nasema mapenzi ya Mungu yatimizwe juu ya jinsia za watoto atakaonipa.
 
ni malezi tuu,na hulka y mtu, omba Mungu akusaidie ulee poa, jfunzeni kuwa frndz wa watoto wenu so awe open kwako,n ucogope sema nae kuhusu mahusiano na mabo ya kujamiiana, asiposikia tena hapo,, hilo toto tukutu tuu,:A S 13:
 
pointless thread! hutaki upate mtoto wa kike ili asiliwe na wavulana, lakini ukisikia mwanao anamla binti wa mwingine utajisifia kimoyomoyo 'mwanangu kidume'.

if u still want a girl then bonyeza HAPA

@Poster aliyekuwa anamla binti kila Jmosi ni fahari kumla huyo binti lakini ukiambiwa wako yupo hivo utapandwa na ghadhabu....

ama kweli, mkuki kwa ______ kwa binadamu mchungu
 
Haya matendo yanategemeana kamanda kwa hiyo ukisikia ameliwa
basi kuna aliyekula au we unaonaje?
 
Nina watoto 2 wa kiume na nilishapeleka request kwa Sir God anipe mtoto wa kike lakini kwa haya niliyoona leo, nawaza kuwithdral request yangu! Imekaa hivi:

Jirani yangu ana binti (ni mwanafunzi wa sekondari). Jirani huyu na mkewe wanajitahidi sana kumlea binti yao kimaadili lakini kumbe binti "analiwa" na kavulana fulani mtaa wa pili. Leo asubuhi Mama yake kaenda kanisani misa ya kwanza, akamuacha bintiye nyumbani na baba yake. Kumbe leo alikumbuka kukunwa lakini akashindwa namna ya kumtoroka baba yake. Alichofanya, alijiandaa vizuri ati anaenda misa ya pili. Na akawahi ili afike kanisani kabla hawajatoka misa ya kwanza. Kwa kuwa anajua mama hupenda kukaa benchi gani kanisani, akaenda kukaa benchi la mbele yake ili mama amwone, na kweli mama akamwona. Mama alitoka kanisani na kurudi nyumbani akijua binti anasali misa ya pili kwa kuwa alimwona. Kumbe huku nyuma binti alikuwa anamchabo mama anakoishilia. Akachomoka zake na kwenda kukunwa. Hivi ninavyoandika, demu ana kama saa 1:30 ghetoni kwa dogo!Jamani waungwana, kuna ubaya kama nikiwithdraw ombi langu la kupata mtoto wa kike? Maana nahisi yatanikuta kama haya! Inauma sana wazazi!

Huyo wa kiume anayemkuna wa kike hana kosa?
 
Hivi suala hapa ni mtoto kuwa na mwenendo mzuri au kosa analofanya, miaka ya zamani kabla ya ukimwi na tabia za ajabu ajabu kama ushoga ulikuwa sahihi kusema hivyo; utawithdraw maombi yako na Mungu akakupa hitaji la moyo wako na ukapata mwingine wa kiume halafu kumbe wewe hupendi tu kuona mwanao wa kike ambaye ungepata anahudumia watu kabla ya ndoa lakini huoni kosa la kivulana kumtaka mwenzake akihudumie kabla hakajamuoa maana hujajuta katika maelezo yako, assume hako kavulana ndo mwanao ambaye wewe hujaona kosa lake na kosa umeliona kwa kasichana halafu unashangaa kanaanza kukohoa mara kwa mara na kuzidi kupungua uzito au kenyewe ndo kanahudumia vivulana vyenzake sijui kama baada ya hapo utaona kuna nafuu ya kuwa na kitoto kivulana au kisichana.

Ulichosema kilikuwa na unafuu kwa maisha ya zamani ambapo hapakuwa na magonjwa kama ukimwi na hofu ilikuwa ni ujauzito binti anaoupata kabla ya ndoa lakini kwa siku hizi ni kuomba tu mtoto awe na mwenendo mzuri awe ni wa kike au wa kiume lakini kama atakuwa na tabia mbaya haijalishi jinsia.
 
mkuu hebu acha kukufuru, pia acha udhalilishaji wa kijinsia. hapo ni Mungu ndo anaweza kuisimamia familia yako nzima isipatwe na maswahibu. jiulize mashoga walianzia wapi? we hujawah kushuhudia mtoto wa kiume kalawitiwa? unaifahamu kesi ya babu seya? wale watoto walofanyiwa unyama walikuwa wa kike? unawezakataa mtoto wa kike afu hao wako wa kiume wakatumbukia kwenye ushoga. muombe Mungu ailinde familia yako full stop!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom