Sitaki THAAD zenu hapo: China ya foka!

Sitaki THAAD zenu hapo: China ya foka!

"Kama china hataonyesha ushilikiano nitafanya mwenyewe" elewa hii statement kwanza. Hivi hayo masikio mmepewa ya kazi gani?
Watu wamejaa ushabiki bila kuzingatia ukweli na uhalisia wa mambo. US tayari kishaanza kufanya mwenyewe ikiwemo kufunga hiyo mitambo ya THAAD hapo SK bila kujali au kufanya negotiations na CHINA ambaye toka mwanzo alikuwa hataki.
 
Lakini hana nguvu au ushawishi wa kuizidi USA!! Kwenye peninsula hiyo na ndio maana hata china anapoanza vurugu za kugombea vile visiwa na japan mtetezi huwa anakuwa USA, la licha ya vitisho vya mchina kwenye visiwa hivyo lakini marekani huwa anazungusha ndege zake. Pasipi wasiwasi!! Hata umchukie USA bado ukweli utabaki pale pale kuwa ndio mbambe wa dunia kwa sasa.
Kandege ka USA kalinaswa huko unakosema kakarudishwa kwao vipande vipande kama chuma chakavu. Fuatilia hiyo kwa faida yako.
 
Back
Top Bottom