Sitaki tena, sipendi wampime Rais akili!?

mmh.. mbona umemruka Shein? Kabla ya kwenda Cuba Rais alikuwa mapumzikoni Ngorongoro???

Na kabla ya Ngorongoro alikuwa Ruaha National park mkoani Iringa for almost 2 weeks kwa mapumziko of course habari zimevuja baadaye kwamba kumbe alikuwa ukweni akioa mtoto wa asas. ILA all in all mimi sielewi huyo mtu wa Human Resources huko ikulu amebadilika au vipi? Maana kwa kumbukumbu zangu huyu rais anaongoza kwa mapumziko ambayo yaliyo mengi tofauti na waliomtangulia huwa hayasemwi kwani haendi Bagamoyo yeye hupenda mbugani zaidi.

Lakini kingine ni kwamba rais huyu anaposema kwamba atapumzika baada ya mwaka mpya anamaanisha atastopisha kidogo safari baada ya mwaka mpya, meaning kwake yeye kusafiri ndio kufanya kazi ah Tanzania nakupenda sana sana ila naendelea kukupa POLE KUBWA.
 
Daktari aliempima akili JK kapigwa na mshangao kama raisi wa watz yuko hivi...je vipi watz waliomchagua?
 
Acha unafiki wewe, wewe mwenye hapo ulipo ni kichaa nenda kapimwe kama hujakutwa hamnazo...

tatizo lenu hamfahamu lugha halafu mnasukumwa na chuki bila uzalendo...safari hii mjinyonge

Kwi kwi kwi

Unataka upewe maji ya kunywa au takbrihu wabrihaurischkuwooouuuaauu
 

Susuviri hii nzuri sana nimeipenda kwa kweli. Infact ndio maana anaposema atapumzika mimi nashindwa kuelewa anamaanisha nini hasa kwani hivi akiwa kazini anafanya nini? I mean hivi kuna tofauti yeyote naomba kusaidiwa ya yeye kuwa mapumzikoni na kazini? Kweli ninahitaji msaada wajameni binafsi sioni tofauti yeyote. Akisafiri na akiwepo kuna tofauti yoyote ya kiutendaji?
 
Lakini kwa mtu mwenye maumivu makali na hapati muda wa kulala.. mnategemea apumzike vipi?
 
Kamwambie na wewe unataka kupimwa akili yako? Ati analyze wewe B@wege la mwisho kabisa.
Habari zilizotinga JF hivi punde ni kwamba wale waliokuwa wanampima mkulu akili (yake) walichukua sampo kidogo na kuihifadhi kwenye fridge ili wawe na uhakika kama kweli akili yake yote haijawa corrupted.


Sio mimi niliosema diagnosis inayofanywa verbally inakaa kwenye friji sasa sijui nani wakwenda kupima hapa.
 

Ndio maana kwenye last posting yangu niliuliza kama wamemshauri aende safarini mapumzikoni,kwasababu ushauri wa awali ulikuwa ni kwamba "apumzike kusafiri" sijui ni kiswahili kigumu hapa ama ni maelezo kutoka kwa rais ni magumu...teh teh teh!Kama safari ni vacation then wanamtaka apumzike kwasababu ya uchovu wa raha za kupumzika?!teh teh teh teh!
 

Nimekwambia wewe ndio B@wege la mwisho hata huelewi. Hebu sasa tueleze akili inapimwa vipi na hadi huyu chizi wako aende kupima akili.
 
its not bad to find out how your brain is doing, trauma can come any time afterall its good for everybody to check health not just brain but overall, just out of curiosity was the IQ figure revelead?
 
mmh wampime akili?? kwani ameonekana zimempaa kidogo eee au ni mambo ya afya ya kawaida jamani, ila wangempima IQ yale jamaaa anazo lakini!! tukisema wanampima akili means hata sisi akili zetu hazipo fine inatakiwa zipimwe si ndo tulimwingiza madarakani!!
 

Ndugu yangu, na mimi kama wewe nilikumbwa na mkasa huo huo siku hiyo. Nilikaa ndani ya gari na joto la siku hiyo kwa masaa matatu. Nikajuta kuzaliwa.

Napendekeza waheshimiwa hawa wanunuliwe Helicopter maalum ya kuwapeleka huku na huko hasa katika miji hususan Dar es Salaam.
 
Kutokana na mambo yanayo endelea kwa viongozi wetu, imefika wakati sasa wa kupima akili za kiongozi kabla ya kumkabidhi ofisi ya umma. Kuna vitu vinafanywa na viongozi wetu ambavyo sio vya kizalendo wala hauhitaji degree kujua hapa kiongozi kapotoka au anadanganya. Wanatenda mambo kinyume na kiapo chao. Tulipofikia hamna haja ya kuapishwa tena, Mtu atapimwa akili kisha anakabidhiwa ofisi. Tukiweka imani katika viapo Tanzania haitafika popote. NCHI YA VIAPO BILA UWAJIBIKAJI NI ULAGHAI NA USALITI.
 
Wanagawiana vyeo sehemu nyeti bila hata interview ya aina yoyote. sifa ya kwanza ni kuwa rafiki wa mkuu, ndugu au mtoa rushwa. Inabidi wawe wanapigwa interview ya maana hata kabla ya kuchukua form ya kugombea urais wala ubunge kwani hao wabunge ndo wanakuja kuwa mawaziri ambao wanakuja kutumia akili finyu kama maisha ya funza wakati wa kutoa maamuzi.
 
Ningefurahi wakianzia kwa Kikwete, halafu anafuatia Shibuda na Nape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…