Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Sitaki tena siasa. Watanzania hatuaminiki hata kidogo. Hata tukiwapa wapinzani nchi mambo yatakuwa yaleyale. Wengi wao walikuwa ccm kabla ya kuhamia upinzani. Ukiwachunguza kwa kina utagundua walichuma mali nyingi zinazozidi kipato chao kipindi wapo ccm. Kwa hiyo hata kama tutawapa nchi watakuwa majanga matupu. So, bora nijikalie zangu tu au nimtumikie Mungu tu, mambo ya kushabikia siasa sitaki tena. Acha walio kwenye madaraka waendelee kula maana sina cha kuwafanya, na hata hawa wapinzani wakishika dola hakuna chochote kitakachobadilika maana walikuwa kulekule.