kachemka vya kutosha, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] itnitakua lugha ya malikia aliyumba, uke usaili ulikua wa moto, watu 302, walkua wanaitajka, maombi yakawa 22000+ haiwez kosa mtu ya kulalamikaSema umechemka tu. Siku hizi ajira bandari zinatolewa na Utumishi...
Wapo wengi sana humu wazuri ishu inakuja tu unajua kupoint???
mbona aya ya usaili hayafungukiKwa wenye macho ya mbaaali kama mimi hebu pitia vizuri jina moja baada ya jingine kwa Kozi ya Operation Clerk C.. Ukurasa wa 152
Uzembe gani unahisi mi ulinifanya nikakosa Kazi.. Matokeo ya Written nilikuwa kwenye top ten.. Sijui wewe Mwenzangu.. Pia unapozungumza jaribu kuuzungumzia ubinafsi wako.. Upstairs nipo vzr Sana.. Unajaribu kutetea sana kwa kuwa umepata.. Nimekutumia hizo Doc 2 pitia vzr then unambie hicho unachosemaalaf kwa ao makarani umeyumba mkuu, kuna dogo mmoja kasoma bandar collage, kapata kazi, hamjui mtu sa amepitaje mkuu, tena ni demu mkali tu na ni rafk kinyama
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sa mkuu umezidiwa na demu kwenye interview, nyie uku bandarini ndo wanawategemea kua makini, itakua ulikosa kwa uzembe wako,
Ndugu yangu unaongea Shit sana kuna maisha baada ya kupata Kazi acha huo utoto hiyo nafasi wamekosa watu na si kwamba VILAZA hapana kuna mda jaribu kutenga muda kumshukuru MUNGU wako na si kumkejeri kila mtu aliyekosa na kujiona zaidi MUNGU anachukia kitu unachokifanya.alaf kwa ao makarani umeyumba mkuu, kuna dogo mmoja kasoma bandar collage, kapata kazi, hamjui mtu sa amepitaje mkuu, tena ni demu mkali tu na ni rafk kinyama
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sa mkuu umezidiwa na demu kwenye interview, nyie uku bandarini ndo wanawategemea kua makini, itakua ulikosa kwa uzembe wako,
Pitia vzr hizo Doc ndo uje ubwabwaje hayo matope yakoalaf kwa ao makarani umeyumba mkuu, kuna dogo mmoja kasoma bandar collage, kapata kazi, hamjui mtu sa amepitaje mkuu, tena ni demu mkali tu na ni rafk kinyama
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sa mkuu umezidiwa na demu kwenye interview, nyie uku bandarini ndo wanawategemea kua makini, itakua ulikosa kwa uzembe wako,
Ndo nimejaribu kumuelewesha naona hata umri wake bado.. Ile Top ten ya written niliekuwemo.. Cha ajabu kwenye ile top ten kachukuliwa mtu aliekuwa namba kumi.. Figisu za usaili huu zilianzia pale...Ndugu yangu unaongea Shit sana kuna maisha baada ya kupata Kazi acha huo utoto hiyo nafasi wamekosa watu na si kwamba VILAZA hapana kuna mda jaribu kutenga muda kumshukuru MUNGU wako na si kumkejeri kila mtu aliyekosa na kujiona zaidi MUNGU anachukia kitu unachokifanya.
Ndugu yangu unaongea Shit sana kuna maisha baada ya kupata Kazi acha huo utoto hiyo nafasi wamekosa watu na si kwamba VILAZA hapana kuna mda jaribu kutenga muda kumshukuru MUNGU wako na si kumkejeri kila mtu aliyekosa na kujiona zaidi MUNGU anachukia kitu unachokifanya.
[emoji3][emoji3] Sina hakika kama unafahamu umuhimu wa kazi uliyoipata.. Kuwa makini na hapo ulipo.. Huku mtaani nina watu dizaini yako wengi sana na tena walifikia hatua ya OO na AOO lakini kwa mawazo kibaba kama haya yako now tunasaga rhumba pamoja huku mtaani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], ntanunua kinu cha kuchakata papuchi, saivi nanukia harufu ya hela a.K.A pesa.
ila JF kuna wadada wazuri saiv ntakua mwema maana nmeopoa mtoto mkali JF