MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,575
- 53,613
Ushindi wa Palestine ni kua na Taifa lao we Gaidi sio kuwachoma singe za matako Wayahudi
Hamjaanza leo, mlianza enzi za huyo muarabu mnayemuita mtume, na mpaka leo mnaliwa tu...
Ushindi wa Palestine ni kua na Taifa lao we Gaidi sio kuwachoma singe za matako Wayahudi
Ameshaondoka mara ngapi kwenye mazumgumzo?
View attachment 2949931
Ukiona sitaki nataka, atulie tu. Crystapen hiyo, na bado hadi 1,200mg!
1. Kwa jasho na damu HAMAS kaliweka takwa la uhuru wa Palestina agenda ya dunia.
2. Kwetu wajinga wajinga wanategemea hisani ya CCM kuwapa katiba mpya kwa ridhaa yao.
3. Hapo #3, pana wahusu mno makamanda uchwara na waisiraeli uchwara wa pande za kwetu Buza Kwa Mpalange!
Tulia hivyo hivyo washughulikiwe.Kumbe kulikoni sitaki nataka?
Tulia hivyo hivyo washughulikiwe.
Labda wewe ikiwa utakuwa wa kwanza kuwasaidia kupigana! Hii inaweza kuwapatia ushindi hao uliowataja mkuuNetanyahu ni snake, na hata hao magharibi, ila cha kutilia maanani ni kwamba katika hii vita Taifa la Palestine litaibuka washindi dhidi ya mavamizi mayahudi wa kizayuni muda ushafika
Ni mbinu tu hizo za kupambana na adui.Sasa kama ndivyo hii mambo "sitaki, nataka" inatokea wapi tena?
Sawa karejea mezani je madai yake yamelegezwa kiasi cha Hamas kupata wanachotaka? vita kuisha na IDF kuondoka Gaza maana kama madai yake yapo palepale kiasi kwamba Hamas anaendelea kuloose na huku Palestine mauaji yakiendelea na maeneo kuzidi kuharibiwa basi ukilinganisha mzani kwa maana ya Netanyau na Yahya Sinwar basi Netanyau zaidi.1. Hii Itakuwa zaidi ya mara 10 Natenyahu kuamuru walioko kwenye mazumgumzo dume ya kusaka amani kususa.
View attachment 2949813
2. Leo tena mashetani yake yametulia: akili imemrudia, kaamuru timu yake kurejea mezani.
View attachment 2949821
3. HAMAS katika utulivu wao kama kawaida wamesema: "akisomeka, wapatanishi watawaita."
View attachment 2949815
4. Ngoja tuone kwa maana hii mbombombo si ya kitoto!
Sawa karejea mezani je madai yake yamelegezwa kiasi cha Hamas kupata wanachotaka? vita kuisha na IDF kuondoka Gaza maana kama madai yake yapo palepale kiasi kwamba Hamas anaendelea kuloose na huku Palestine mauaji yakiendelea na maeneo kuzidi kuharibiwa basi ukilinganisha mzani kwa maana ya Netanyau na Yahya Sinwar basi Netanyau zaidi.
Ni mbinu tu hizo za kupambana na adui.
Unampiga huku unazungumza nae..
By the way Israeli siku zote hupendelea diplomasia zaidi kuliko vita.
Hiyo ni delay tactic
Hebu msome Netanyau hapo chini maneno ya kinywa chake halafu jiulize kama bibi unayesema kafika bei au hata kama kuna dalili za kufika bei zingatia anaposema We’ll get number two and number one ina maana Sinwar na huyo mwenzake. Kumbuka kisasi cha myahudi kinaweza chukua miaka kadhaa lakini rest assured atatimiza kisasi chake maana wao ni jino kwa jino maadam Sinwar kalianzisha basi lazima alimalize.1. ZIngatia karejea mezani kwa course mpya Tofauti na aliyokuwa nayo.
2. Ndiyo maana HAMAS kwa kuwa hawanajipya wanasubiri mrejesho tu kutoka kwa wapatanishi kama "bibi" kafika bei.
Hebu msome Netanyau hapo chini maneno ya kinywa chake halafu jiulize kama bibi unayesema kafika bei au hata kama kuna dalili za kufika bei zingatia anaposema We’ll get number two and number one ina maana Sinwar na huyo mwenzake. Kumbuka kisasi cha myahudi kinaweza chukua miaka kadhaa lakini rest assured atatimiza kisasi chake maana wao ni jino kwa jino maadam Sinwar kalianzisha basi lazima alimalize.
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has told a group of US members of Congress that “victory” in Gaza and “getting” Hamas’ senior leadership in the enclave are just “a few weeks away.”
Speaking to a bipartisan group from Congress on Wednesday, Netanyahu said: “We’ve killed many senior leaders [of Hamas], including number four in Hamas, number three in Hamas. We’ll get number two and number one. That’s victory. Victory is within reach. It’s a few weeks away.”
Mifano uliyotoa haviendani na tunachojadili ila ni mifano mizuri sanaaa kwa kupata faraja1. Walikuwapo kina jiwe bila shaka walijiapiza kuwapata wengi wakiwamo kina Lissu.
2. Swali la msingi wako wapi kina jiwe na wako wapi kina Lissu?
3. By the way, who's Natenyahu? NI Natenyahu ni Mungu?
4. Alizowea kusema Maalim:
" Usitutishe, usitutishe, usitutishe, ..!'
Mifano uliyotoa haviendani na tunachojadili ila ni mifano mizuri sanaaa kwa kupata faraja
Ameshaondoka mara ngapi kwenye mazumgumzo?
View attachment 2949931
Ukiona sitaki nataka, atulie tu. Crystapen hiyo, na bado hadi 1,200mg!
1. Kwa jasho na damu HAMAS kaliweka takwa la uhuru wa Palestina agenda ya dunia.
2. Kwetu wajinga wajinga wanategemea hisani ya CCM kuwapa katiba mpya kwa ridhaa yao.
3. Hapo #3, pana wahusu mno makamanda uchwara na waisiraeli uchwara wa pande za kwetu Buza Kwa Mpalange!