1. Hii Itakuwa zaidi ya mara 10 Natenyahu kuamuru walioko kwenye mazumgumzo dume ya kusaka amani kususa.
2. Leo tena mashetani yake yametulia: akili imemrudia, kaamuru timu yake kurejea mezani.
3. HAMAS katika utulivu wao kama kawaida wamesema: "akisomeka, wapatanishi watawaita."
4. Ngoja tuone kwa maana hii mbombombo si ya kitoto!