Sitaki na sipendi kabisa matumizi ya DNA

Sitaki na sipendi kabisa matumizi ya DNA

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,793
Reaction score
7,165
Katika vitu nisivyovipenda ni matumizi ya kifaa hiki DNA.

Sababu za kutotaka matumizi hayani
1. Sitaki kuaribu family kwa watoto wangu wapendwa waliozaliwa ndani ya ndoa. Mwanamke kama kiumbe hatari zaidi anaweza kukuzalia watoto wanje na ikatokea ukawapenda sana ukizania ni damu yako. Hivyo kupima dna nikutenganisha family

2. Ikitokea family inamagonjwa ya kurithi mama kwa mchezo wa kukumixia anaweza kuwaepusha na janga hili.

3. Kunafamilia zina vizazi vya laana kama vile vifo vya ghafla, wizi uzinzi mama kwa janja yake anaweza kuokoa familia inayoangamia kwa kukumixia watoto.

4. Mama anaweza kubadilisha family kutoka familia ya kimasikini ikiwa atacheza kwa karibu na familia zilijaliwa bahati ya utajiri.

Kwa kutotaka kuvuruga family hizi ndizo sababu za kutotaka DNA kwani sio mkobozi kwa Africa. Kiafrika zaidi mama ndiye anayekaa na siri ya mtoto ni wanani, hata hivyo makabila kama ya wamasai , wamakonde chombo hiki kinawapitia mbali sana ndio maana wengi wao hufanana kwa kila kitu.
 
Kitanda hakizai haramu.

Yaani wazee wa zamani walikuwa wajanja waliyaona haya, siku hizi vijana wanalilia kupima DNA wakati wao hawajui chimbuko lao kwani mwenye siri ni mamatu
 
DUNIA haijawahi kusimama na haitasimama kamwe. Alie tuumba siku zote hutuhimiza kutafuta maarifa ili tusiangamie, wewe huyataki maarifa hakika utaangamia.
 
Hicho kipimo kilitaka kufanywa kwa WTz wote kujua uhalisia wao ,watu wengi walikipinga na kusema kitazua patashika.bora wamezee tu.
 
Hicho kipimo kilitaka kufanywa kwa WTz wote kujua uhalisia wao ,watu wengi walikipinga na kusema kitazua patashika.bora wamezee tu.

Mbona naskia walifanya?na more than half of mens'population,walikutwa wanalea watoto si wao,ndio ujue tunaendekeza ngono.....
 
Yaani wazee wa zamani walikuwa wajanja waliyaona haya, siku hizi vijana wanalilia kupima DNA wakati wao hawajui chimbuko lao kwani mwenye siri ni mamatu

Sababu zako na zikubali asilimia kubwa kwa kiasi in the past watu walikua wanachakachua wakiamini hata likitokea lolote watoto wote hawafi sababu ni wametofautiNa damu lakini hii ya kupima ni kuleta shiider tu na mafarakano wakati usingejua ungekua na amani tu
 
why umbambikizie mtu watoto wasio wake? wanawake ndo chanzo cha wimbi la watoto wa mtaani, maana ktk kizazi cha leo hakuna mwanaume anayekubali mulea mimba kiboyaboya! Mademu mmekuwa mnangonoka mnoooooo
 
Sio kubambika ndo ilivo nature ya Waafrica Ku mix watoto na baba tofauti pia wamama na wazee wali survive tangu enzi wakiwa na sababu ila kuiga uzungu ndo janga hyo sio culture yetu wametuletea tu nasi tunaiga na Ku abandon practices zetu na customs wanaosababisha street children ni wanaume sana kuna kabila kuwa na mtoto wa nje ni kawaida ni kama mila
 
Kama unajua huwezi kusababbisha basi usipime, kama unajiamini na unaweza lakini humwamini mkeo nenda kapime tu
 
Mara nyingi kipimo hiki hutumika pale ambapo kuna utata na case. Kwa mfano baba kakataa mtoto si wake baada ya kumpa binti ambaye si mke wake mimba.

Na mara zote ili kipimo hiki kifanyike lazima kuwe na case. Ni lazima mwanasheria ahusishwe. Ni bahati mbaya kibongo bongo yawezekana mtu akapeleka sampuli kinyemela na zikapimwa kishkaji.

Siyo hala ya kawaida baba kubeba watoto wakapime kama ni wake. Ikitokea hivyo lazima ujue ndoa hiyo inatatizo tayari. Hivyo DNA bado inaweza ikawa mfumbuzi wa hilo tatizo.
 
Back
Top Bottom