Sitaki na sipendi kabisa matumizi ya DNA

Sio kubambika ndo ilivo nature ya Waafrica Ku mix watoto na baba tofauti pia wamama na wazee wali survive tangu enzi wakiwa na sababu ila kuiga uzungu ndo janga hyo sio culture yetu wametuletea tu nasi tunaiga na Ku abandon practices zetu na customs wanaosababisha street children ni wanaume sana kuna kabila kuwa na mtoto wa nje ni kawaida ni kama mila

ni sisi ndo lazima mama mke baba azae nje ya ndoa
 
Mfano mwanamke ameolewa katika familia ya majambazi ya akina masawe au matapeli kama papa msofe ambao kuna damu zinawalilia waliokatishiwa maisha, ukoo wote unapigwa laana ya kuchika kama mama hakumix si atalia na kusaga meno. Nawashauri waliolewa familia tata za majambaz, wezi, wakatili wachanganye kuepuka majanga
 
kikawaida wanawake wa zamani walikuwa na siri sana sio kama wasasa, wasasa wakikubambikia ipo siku watakuropokea mkigombana au mkiachana ndio atakwambia hawa watoto sio wa kwako, wakati ndoa za zamani hamna issue ya kuachana. mimi nashauri watu wapime hii kitu ili kuwa na uhakika aisee. usifananishe maisha ya zamani na sasa. wanawake wa siku hizi ni hatari sana wameathirika na utandawazi, ipo siku utalia kifo cha mende pale utakapoambiwa hawa sio wanao wakati ushalea miaka 15
 
inafatana kabila unapooa mzalamo imekula kwako kibao kimoja tu atakwambia watoto wote sio wako.
 
Sio kubambika ndo ilivo nature ya Waafrica Ku mix watoto na baba tofauti pia wamama na wazee wali survive tangu enzi wakiwa na sababu ila kuiga uzungu ndo janga hyo sio culture yetu wametuletea tu nasi tunaiga na Ku abandon practices zetu na customs wanaosababisha street children ni wanaume sana kuna kabila kuwa na mtoto wa nje ni kawaida ni kama mila

Acha kutetea ujinga bhana,mbona point zako ni dhaifu mno na zisizoweza kushawishi.
Njo na sababu nyingine labda lakini sio hizi.
 
Huo ndo ukweli ulivo sasa mtu kama alibafilishiwa mtoto na hajachepuka popote asilimia kubwa ya Watanzania wamelelewa na baba sio wao hii ni from my experience na society niliyoishi tofauti tofauti hafu na wewe njoo na sababu zako strong kupinga zangu dhaifu Haya ni mawazo yangu tu we leta sababu zako zenye mashiko
 
Kimsingi kusema hii ndo culture yetu hapo ndipo ulipokosea.Kipimo cha DNA(Deoxynucleic acid) hakiwezi kuepukwa au kupuuzwa eti kwa sababu ni culture ya wamama kitanzania kubambikia wanaume watoto.
Je,unafikiri hii ndo sababu ya watu kutopima DNA?.
DNA ndo kiboko ya wanaobambikia watu watoto yaani mtu ulee mtoto wa mtu mwingine bila sababu.Hakuna kukimbia hapa wala kutoa sababu zisizo na msingi kutetea uovu kama una wasiwasi na watoto unaolea nenda kapime DNA faster hamna kujibaraguza na kutoa sababu zisizoshawishi.
 
Ndo hivo sasa una bisha nini kwenye jamii wapo kibao tu wee mwenyewe ungekua ....... ningekumba...... wala usingejua kuwa nimekushika masikio wenzako wanasemaga hivo na hawafanyi kitu
 
Aah wapi?thubutuuu!hao hao mabwege ndo mtawabambikia.Kupima DNA ni lazima kwa wanawake jamii yenu hamna cha kukimbia hapa.Huyu aliyegundua DNA test kafanya vizuri sana.Sasa nipime halafu nikute sio wangu aisee utachezea kipondo heavy na siku hiyo hiyo unaenda kwenu.
 
nimecheka malumbano yenu ya hoja
 
Aah wapi?thubutuuu!hao hao mabwege ndo mtawabambikia.Kupima DNA ni lazima kwa wanawake jamii yenu hamna cha kukimbia hapa.Huyu aliyegundua DNA test kafanya vizuri sana.Sasa nipime halafu nikute sio wangu aisee utachezea kipondo heavy na siku hiyo hiyo unaenda kwenu.

Wee wenzako huwa wanaji proud ka wewe name maneno kibao sijui DNA kwa kujifariji kumbe Walea mwanao sio wako na hawatoi kipondo heavy hafu Walpole ka maji ya mtungini hawakohoi tena wewe ni muongeaji utekelezaji sasa inafaa upate wa kukukAmatishia
 
wivu wa kuiga ndio chanzo cha ugumba, mtu unakufa una mtoto wakuangalia uzeeni mwishowe unakufa una hata mtoto wa kusingiziwa , kwa ufupi unapoteza upendo mwishowe unalisisha mbwa au paka mali zako kama mama ubaya na anakond raha ya kuzaa unaimalizia kwa wanyama
 
Back
Top Bottom