Sitaki mapenzi

nkurwa

Member
Dec 15, 2011
5
0
Jamani wana jf kuna dada wa miaka 26 amenipenda ananihitaji kamapenzi nimemkatalia lakini kilasiku ananing'ang'anizia jamani nisaidieni nifanye nini?
 
Duh JF bana full burudani
Umependwa unakuja kuuliza ufanye nini
We si ni mtu mzima mwenye maamuzi na unayejua unatakiwa kufanya nini
Chukua maamuzi na jipange na kama humpendi pia chukua maamuzi haraka
 
amba ya huyo dada hapa
kuna vidume vitakusaidia kukuondolea huo usumbufu
 
Duh . . .

Ila kumbuka,
Kupendwa ndio huku kupendwa kuheshimiwaaaa
Sio wewe zumbukuku kutwa kiguu na njiaaaaa
 
Na wewe unampenda sema hujajijua na kujitambua unampenda kwa kiwango gani??

Mfano itokee mwanaume mwenzako anakutongoza na kukutaka kimapenz anataka akugeuze wew kama mwanamke je kama wewe ni mwanaume rijal utakuja kuomba ushauri jamvin kwamba ukubali au ukatae??

Kweli vijana wa leo mnavibweka kweli kweli kwa hiyo wadau wakikushauri negative na huku wewe mawazo yako ni positive utakubaliana nao??
 
Yaonekana nawe huna msimamo...akituma msg usijibu...akipiga simu usipokee...
 
Kwanini umeuweka umri wake wazi,Is she too young or old to you?wewe binafsi unamchukuliaje?Kama haumpendi mwambie ukweli tu atakuelewa!!
 
Wewe inaelekea unampenda kwasababu wadau wamekuomba namba yake ya simu ili wakusaidie kukuondolea usumbufu umekataa kuitoa, nasema hivyo kwasababu sijaiona. Kama humtaki muambie ukweli kwa busara sio kishari kwasababu kupendwa na kutamkiwa wazi kwa wanaume ni nadra sana ndugu yangu, hongera kwa hilo. Wanaume mara nyingi hatutamkiwi na mwanamke kwa mara ya kwanza ila ni baada ya mwanaume kuonyesha mapenzi kwa vitendo au kwa maneno, inawezekana kabisa ulimuonyesha mapenzi aidha kwa utani wa maneno au vitendo sio bure. Nachokushauri kama ulimtania mwenzio muombe msamaha na umuambie ukweli kwamba ulikuwa unatania hukumaanisha. Vinginevyo unajitafutia laana ya kucheza na mioyo ya watu na kuwapa msongo mbaya wa mawazo.
 
we jipake nnya tu ya binadamu kila mnapotaka kuonana afu uje ulete feedback hapa ameendele kung'ang'aniza au lah..
 
Jamani wana jf kuna dada wa miaka 26 amenipenda ananihitaji kamapenzi nimemkatalia lakini kilasiku ananing'ang'anizia jamani nisaidieni nifanye nini?
.
Watoto utawajua tu. Kitu kidogo spidi mia kwa mama/baba..
 
Jiulize maswali matatu kuhusu wewe:

1.Je wewe ni Handsome?
2.Je wewe una pesa?
3.Je wewe una akili darasani?

Kama ndio moja ya maswali hayo basi mwambie sitaki ila kama siyo basi mkubalie tu.
 
duuuuh unataka hapa uambiwaje????we si mtoto wa kiume kua na msimamo wako binafsi..khaa mi wanaume wa hivi akhaaaa why haujiamini kama HAUTAKI maanisha kama UNATAKA nenda sasa unataka kuhakikishiwa au?think think think its ya life man..
 
Dah bahati za mtende kama hizo mbona hazitutokei sisi.... wagiriki.. we cha msingi mkubalie mguu mmoja nje mwingine ndani halafu pima kina cha maji kwa mti siyo mguu... au na wewe ukigongana na dm kwa mara ya kwanza inashikwa na kigugumizi??
 
demu mwenyewe hajakuvutia nini? am sure angekuwa mkali wala usingekuja na hiyo hoja hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom