...sitaki kuuona uume na sitaki nionekane uke wangu!

...sitaki kuuona uume na sitaki nionekane uke wangu!

Sabung'ori

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2011
Posts
2,166
Reaction score
1,248
Heshima mbele kwa wanabodi + wandugu wote popote pale JF mtandao mkubwa wa kijamimi unapo patikana

Wana-jamii nimekuja mbeleyenu leo kwa nia ya kutaka mnipe ushahuri nifanye nini kwa majaribu yaliyonikuta hivi karibuni huko Singida

Takribani ni mwezi sasa umetimia tangu tukubaliana na mrembo mmoja kuwa na uhusiana wa kimapezi,kupitia kwenye mtandoo mmoja wa kijamii unaofahamika kama "hi5"

Huyu mrembo ndo alinianza kwa kunitumia message na kunieleza ya-kwamba umevutiwa sana na picha yangu,hivyo kama itawezekana angependa kuwa na uhusiano wa kirafiki na mimi

Kuanzia hapo tukawa tunawasiliana sana kwenye huo mtandao(hi5) na tumefikia hadi kubadirishana namba za simu na email adress

Mawasiliano kati yangu na huyu dada yamekuwa ni mazuri sana kiasi kwamba nimeona kweli yuko serious,amenitumia picha zake nyingi sana akiwa peke yake na nyingine akiwa na wazazi na ndugu zake

Huyu mrembo yuko Singida kikazi lakini yeye ni mwenyeji wa Songea,mimi niko Mwanza

Katika mwasiliano yetu tukakubaliana kuwa niende Singida ili tuweze kufahamiana vizuri zaidi

"Mtu mzima" nikajipanga sawa sawa nikafunga safari hadi Singida, kwa bahati nzuri nikafika salama na mwenyeji wangu akanipokea na kunipeleka hoteli aliyoniandalia

Tofauti na nilivyokuwa nikimwona hayu dada kwenye picha,"live" nilimkuta ni mrembo sana,ki ukweli mtoto kaumbika yaani kakamilika idara zote

Baada ya kuoga na kupata msosi tukawa tumekaa kitandani tukiongea ili na lile kama kawaida ya wapendanao wakutanapo faragha

Tukaendelea na maongezi huku mikona yangu nayo nikiitembeza kwenye maungo laini ya huyo mrembo,mmmh! mtoto akalainika na kuanza kuishiwa pumzi

"Mzee mzima" nikaanza kuchojoa ili nipige hata bao moja la kuondolea uchovu wa safari

Ghafla mtoto akainuka kitandani na kuhamaki na kusema..."no no no hapana hapana hapana"...nikamuulizi why?,akanijibu kwamba..."ni kweli my love ninajisikia sana hamu ya kufanya mapenzi na wewe"...akaendelea kusema..."but baby naomba uwe na subra,kama ni kufanya mbona tutafanya saaana tu,wala usiwe na haraka lakini sio sasa hivi"...

Kwa kuwa mzuka ulikuwa umeishanipanda siku mweelewa ikanibidi nimuulize tena why?,akaniambia kuwa yeye huwa hawezikufanya mapenzi akiwa anaonana na mtu nayefanya-nae mapenzi,hivyo upenda kufanya mapezi kwenye giza totoro

Jibu lake sikulielewa nikarudia kumuuliza tena swali lilelile
why?,akaniambia..."honey nielewe mimi huwaga sipendi kuuona ume na sitaki vilevile mtu
auone uke wangu"...

Kwa jibu hilo niliishiwa na maswali na badala yake sasa nikaanza kujiuliza mimi mwenyewe..."je kulikoni hadi kwenye giza tu na si kwenye mwangaa?"...

Sio siri nilianza kuingiwa na hofu na kujiuliza maswali mengi sana siyokuwa na majibu,ili nisimwonyeshe kuwa nimeshtuka ikabidi ni-ziue kwa stori nyingine mchanganyiko

Ilipofika mida ya jioni kama saa moja na nusu hivi,huyo dada akaniaga kwamba anaeda kwao kuweka mambo sawa ili arudi tulale wote,hapo sasa tena ndo chupi ilianza kunibana coz nilikuwa tayari nimeishaanza kumwoofi na sina tena hamu nae

Alipoondoka kama baada ya muda wa nusu saa hivi,nikajiongeza fasta nikampigia simu na kumwombia usisumbuke kurudi kwani sijisikii vizuri,nimechoka na kichwa kinaniuma

Ilikuwa vigumu sana kunielewa hivyo akawa anag'ang'ania tu arudi tulale pamoja lakini na mimi nikashikilia msimamo wangu wa kumtaka asirudi na tuonane kesho yake asubui,kwa shingo upande akawa amenikubalia

Nikalala salama na asubui mapema nikadamkia sitendi ya mabasi kukata tiketi ya kurudi Mwanza,nikiwa hapo stendi nikampigia simu na kumwambia asisumbuke kwenda hotelini aje moja kwa moja stendi

Alipofika nilipokuwa alikuwa anaonekana ni mtu mwenye uzuni sana,kitu cha kwanza kuongea nami kabla hata hatujasalimiana lilikuwa ni swali..."mbona unaondoka ghafla"...kwa kweli lilikuwa swali gumu sana kulijibu kwa kumweleza ukweli,hivyo ilinibidi nimdanganya kwamba usiku bosi wangu amenipigia simu na kuniambia kwamba nahitajika ofisini haraka sana kunatatizo kazini limetokea

Ilikuwani vigumu sana kuniele lakini nilijitahidi sana kumshawishi kwa kumwahaidi kuwa nitarudi mapema baada ya kuweka mambo ya ofisi sawa,kwa kuwa tayari nilikuwa na tiketi mkononi na basi lilikuwa linakaribia kuondoka hakuwa na jinsi,alikubali kwa unyonge na mimi nikaondoka salama Singida

Haya kwa ufupi ndo yaliyonikuta kwa huyo mrembo wa Singida,naomba wanabodi mnisaidie kupambanua hili jambo...je ni kwa nini huyo dada hayuko tayari kutoa "utamu" kwenye mwanga?...je sababu ya kutotaka kuiona "dusheleee" na kukataa kuonekana kwa ''kisima chake cha mapezi" zinajitoshereza au kuna kitu nyuma ya pazia?...
 
Kama angekuwa jini ule usiku usingelala salama kama ulivyosema.Ni tabia tu ambayo ime affect saikolojikali...sidhani kama kuna zaidi ya hapo!mualike aje Mwanza...uwe na uhuru zaidi utamzoea nadhani utamuelewa!!ila ngono kama hizo usalama kwanza!!
 
Aisee wewe ni mwanamme,kwa kifupi achana na hiyo kitu nahisi hatari mbele
 
Hiyo sio sababu ya msingi ya wewe kula kona haraka hivyo! wako wanawake wengine hawakubaligi directly ufanye nao ngono lazima akuzungushezungushe an kukuzuga na vijisababu viiingi ili tu usimuone cheap.NNa uhakika ungekuwa mpole na mwenye subira ungejilia mzigo tartiiibu hata kwenye taa.woga wa nini kama hukujipa nafasi ya kumchunguza zaidi?
 
Mwanza kote huko hujaona mpaka unakimbilia wa mtandaoni? Hebu jichukulia wasukuma hapo Zoo mkubwa wala hutakuwa na gharama za kusafiri kufata utamu.
 
Kama angekuwa jini ule usiku usingelala salama kama ulivyosema.Ni tabia tu ambayo ime affect saikolojikali...sidhani kama kuna zaidi ya hapo!mualike aje Mwanza...uwe na uhuru zaidi utamzoea nadhani utamuelewa!!ila ngono kama hizo usalama kwanza!!

...ahsante mkuu kwa ushauri wako,ngoja kwanza nitafakari inakuaje and then nionekama kama naweza kumwita Mwz...
 
...una makosa mengi sana ya kisarufi Mkuu...

Enwyz ni kamchapo kazuri.
 
Hiyo sio sababu ya msingi ya wewe kula kona haraka hivyo! wako wanawake wengine hawakubaligi directly ufanye nao ngono lazima akuzungushezungushe an kukuzuga na vijisababu viiingi ili tu usimuone cheap.NNa uhakika ungekuwa mpole na mwenye subira ungejilia mzigo tartiiibu hata kwenye taa.woga wa nini kama hukujipa nafasi ya kumchunguza zaidi?

...mkuu hilo la kudeshi nalijua vizuri sana,kwamba watoto wa kike wanazo zile za nataka sitaki,lakini huyu ilikuwatofauti coz kama ni denda nilikuwa nimeisha nyonya la kutosha yaaani nilikuwa nimeisha-wachambua mabeki wote imebaki kutikisa nyavu tu...
 
nilivyowahi sikiaga ni kwamba mababu na mabibi wamedumu kwny ndoa sana sababu walikua hawaangaliani nyeti zao jinsi ilivyo so inakua fresh sna kudumisha..maana sura zingine haziko vizuri, tofaauti na mapenzi ya siku hizi watu tunachorana sana halafu tunamezea tu moyoni...ni hayo tu
 
Kama angekuwa jini ule usiku usingelala salama kama ulivyosema.Ni tabia tu ambayo ime affect saikolojikali...sidhani kama kuna zaidi ya hapo!mualike aje Mwanza...uwe na uhuru zaidi utamzoea nadhani utamuelewa!!ila ngono kama hizo usalama kwanza!!

hii bwana mkubwa unanikumbusha kuna demu mmoja niliyewai kuwa nae alikuwa hivyohivyo hatakinimuone k ,hivyo nikawa nado akiwa amevaa nguo nyingine bila kumwangalia ,siku nilipomfosi kumwangalia *****alininunia siku nzima na apo ndio ulikuwa mwanzo wetu wa kujiachia .
 
...una makosa mengi sana ya kisarufi Mkuu...

Enwyz ni kamchapo kazuri.

...ni kweli mkuu uenda nikawa nimezikosea sana tu hizo sarufi,naomba unisahihishe and then unipe ushauri wako kama utakuwa umeelewa maudhui ya huu mkasa...
 
Kuwa makini sana manake ni hatari mno! Jaribu kuwa na mawasiliano na ndugu zake. Yaani in-short jaribu kumu explore more and more usiharakishe kukimbia maadamu ushauvaa wewe kuwa makini tu
 
nilivyowahi sikiaga ni kwamba mababu na mabibi wamedumu kwny ndoa sana sababu walikua hawaangaliani nyeti zao jinsi ilivyo so inakua fresh sna kudumisha..maana sura zingine haziko vizuri, tofaauti na mapenzi ya siku hizi watu tunachorana sana halafu tunamezea tu moyoni...ni hayo tu

...ahaaa ahaaa ahaaa...hayo mambo ya wazee wetu yalikuwa ni kinalogy zaidi,hiki sasa ni kizazi cha digital kinatakiwa kiwe kinaji-set chenyewe...
 
Back
Top Bottom