Toria
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 1,177
- 699
Wanaume wa style hii mnatamanisha sana kuchuwna aisee:
huna challenge,mwepesi wa kukubali kila kitu,mpooole,muoga,unaomba ..k.. badala ya kudhubutu,utundu zero,heshima nyingi,huna maamuzi,huna ule ujeuri wa kiume,unaomba msamaha hata usipokua na kosa e.t.c
Wewe naona sifa zote unazo,unaweza kuonekana gudboy lakin unae-bore at the same time hivyo ni rahis msichana kucheza na akili yako kirahisi na akazichuma shekeli zako kirahiiis na hata kumgusa usimguse
Next time u have to act like a man,ukitaka uende sawa na hawa mabinti wa kidigital uwe na mixed spirit angel-devil otherwize utakua padri bila kupenda
Lakini Pole sana mwaya... jaman mabinti mnyonge mnyongeni ila haki yake usimpe(onjesha japo kiss)