Sitaki kupenda tena..

Pole sana kijana..Ila mi naamini kuwa utakuja penda tena usiseme hivyo,omba Mungu akunusuru na wanawake pasua kichwa..ila usikubali kuwa mtaji.
 
Pole sana kijana..Ila mi naamini kuwa utakuja penda tena usiseme hivyo,omba Mungu akunusuru na wanawake pasua kichwa..ila usikubali kuwa mtaji.
khasante sana lakini roho inaniuma kila nikimkumbuka..
 
Pole sana, hakukupenda wewe bali alipenda vitu unavyompa na baada ya kuona havipati tena kaona huna maana..kila likuepukalo lina heri na wewe!
 
pole kaka, hakuna kiss wala sex, nadhani baada ya hapa sasa ukimpata mwingine utajua mwenye upendo, alikufanya wewe ATM MASHINE, sio siri wanadada wengine wanamatatizo sana.
 
siku shikwa masikio nilikuwa na mpenda na kama unaupendo waukweli hutataka kumuuzi mpenz wako na ukisha zingatia ananiambia yeye ni bikira@kalou.

huyo Hakuwa Mpenzi Wako...bali Mliishi Kama Mwanzo Yaani Marafiki ila Tofauti Ni Wewe Kujitoa Mzima.

Heheheh...2Yrs?
Unacheza we kijana... Pole Kwako Ya Kilemba
 
Pole sana, hakukupenda wewe bali alipenda vitu unavyompa na baada ya kuona havipati tena kaona huna maana..kila likuepukalo lina heri na wewe!
Khasante sana inawezekana alikuwa ananitumia bt kapoteza mtu ambaye sijui kama atampata tena mtu atakaye mpenda kama nilivyo mpenda mimi..
 
pole kaka, hakuna kiss wala sex, nadhani baada ya hapa sasa ukimpata mwingine utajua mwenye upendo, alikufanya wewe ATM MASHINE, sio siri wanadada wengine wanamatatizo sana.
Khasante sana Best,natamani nimpate mtu ambaye anajua nini maana ya neno Mpenz..
 
Hahaha, kwanza nikiangalia jinsi unavyopangilia mawazo yako na kuyaeleza inanionesha wewe ni mtu wa aina gani. Natamani kujua huko kwenye shirika la habari wewe ulikuwa uanafanya kazi gani, ama majukumu yako yalikuwa yapi coz hufananii kabisa. Inaoneka na wewe ni mtu very slow in mind, na huwezi kusoma alama za nyakati. Naomba nikuhakikishie kwamba huyo hakuwahi kuwa mpenzi wako, na isomeke hivyo. changamka kijana, dunia zaidi ya uijuavyo!! if you cant see in colors, then at-least see in black and white. !! Najua nitapata madongo humu jamvini sababu ya hii comment ila poa tu coz the truth needs be told no matter the circumstance, and at times criticism can be the best teacher. Kalaghabaho ng'wanawane, signature chini inajieleza!!

mimi ningempa ushauri kama wako...
 
Kaka nakupa pole sana. Achana na huyu binti ila mtakie heri katika maisha yake. I experienced the same pain. Lear from it you are never late. Kuna binti atakupenda minus your income. Atakupa mapenzi uliyoyamiss for long.....keep your hopes alive chali wangu...



sitaki kupenda tenaaa...
Nampenz wangu ambaye nilitokea kumpenda sana tena zaid ya sana na mapenz yetu yalianza kama hivi,nilipo kuwa secondary niliamua kuomba niende mkoa kilmnjr..kwa mara yakwanza kumsalimia bibi ndipo pita pita zangu nikakutana na mpenz wangu ambaye yeye ndiyo kwao nilitokea kumpenda sana na nikamtongoza bt jibu lake aliniambia anampenz natulipotezana mm nilirudi dar yeye akabaki..
Miaka ikaenda nakwakusema ukweli tokea nilivyo kuwa mdogo nilipenda kazi mbili ya uwanajeshi na upradi so kama unavyo jua upradi hauruhusu mahusiano wakimapenz hivyo basi mpenz wangu alikuwa msichana ambaye niwakwanza kusikia hamuyakufanya mapenz naye.nilibaatika kusoma chuo na kumaliza na kwavile najuana na watu nikapata kazi kwenye taasisi moja la habari kubwa linaandika habari za siasa maisha yakaendelea kwangu kuwa yafuraha na amani..
Miaka kama minne iliyopita mpenz wangu akaamia karibu na hom dar alikuwa anakaa kwakaka yake alipanga nilipo muona nilifurah sana nakukumbushana mambo yamkoani nilipo mgusia kama msimamo wake umebadilika akaniambia bado basi tukawa marafiki wakushauriana vitu kama mambo ya masomo yeye alikuwa anarudia mtihani wa form4...
Kunasiku moja akanipigia simu nakuniambia anamaongezi na mm kwavile alikuwa na best nilienda kumsikiliza akaniambia amemfumania mpenz wake live na mwanamke mwingine gest nilimfariji nakumpa maneno yafaraja kama frnd yangu maamuzi yake yalikuwa kuachana nampenz wake na nakatika maongez yake jamaa yake hajawahi kula tunda na yeye nibikira ndiyo sababu ya yeyejamaa yake kutoka na msichana mwingine kimapenz na alikuwa mtu wawapenz weng kama unavyo jua yeye alimchukulia kama dem wakuzugia tu!!.
Ikapita kama miez mi5 hivi akaniambia anamaongezi na mm katika uonana naye akaniambia amenikubalia ombi langu na amekaa nakufikili sana ameona mimi nafaa kuwa mpenz wake mpya kwa vigezo vingi cha kwanza mpaka mda huo nilikuwa sina mpenz na mm nikamkubalia naakawa mpenz wangu wakwanza maisha yakaendelea...
Mpenz wangu alikuwa anasoma chuo kimoja kikubwa tu!na ada alikuwa analipiwa kidogo kidogo mzaz wake alikuwa hanauwezo basi nikaamua kuwa namsaidia hela yakulipa chuo naatakayo pewa na mzaz wake iweyakujikimu nanikawa na majukumu kama nimeoa vile na chakushangaza katika mapenz yetu sijawahi hata kumkiss ukitaka kufanya hivyo anabadilika na mnaweza kugombana nami nikaamua kuwa mpole kwa vile nampenda tumedumu katika mapenz huu mwaka wa pili bila sex wala kiss..
Anatabia yakugombana gombana hadi kufikia hatua ya kuvunja uhusiano hasa usipompa kitu alicho kuomba umnunuliye nimevumilia natabia hiyo kwa vile nilikuwa nafanya kazi na niliona nimoja yamajukumu ya mpenz...
Sahivi nimeamua kujiendeleza kielimu nakwavile masomo yanaanza hasubui nikaamua kuacha kazi so sina hela juz anataka nimnunu liyeblackberry{bb} hela sina na akiniomba hela hata ya vocha sina basi ameamua kuniandikia hivi 'naomba mapenz yetu yaishiye hapa sitaki maswali wala usumbufu wakupiga simu'
nimejaribu kumpigia simu hapokei n txt hajibu daah!kweli mapenz hayana mradi poleni kwa kukuchosa niayangu nikukuelimisha yasije yakakutokea yaliyo nitokea mm coz sijaambulia hata kiss na nilitumika sana...
Nb:kama huna malengo na mtu uliyekuwa naye kwenye uhusiano nibora ukamwambia kuliko kuchezea hisia zamtu.
 
Nahisi huna hisia wewe yaani umekosa mihemko, utakuwaje karibu na mpenzi wako hata kiss hakuna????????????? aaaah nenda kapimwe
 
Mie iliwahi kunitokea. nilimtongoza demu, kwanza akanitukana akakata simu, mzee nikamrushia vocha elf tano, kupiga tena akalainika. lakini akanipa masharti eti nikitaka urafiki nimnunulie simu na laini.

kwa vile nlikua nshakolea nkamwambia sawa . Sasa kabla cjanunua cm demu akanipigia akanambia anaumwa, nikamnunulia dawa na zawadi zengine nikampelekea. Kwa vile tulikua peke yetu kwenye gari nikamuomba nim hug, akakataa akanambia nsiwe na pupa.

Kitu cha ajabu ilikua yapata saa nne ucku, akaniomba nimpe lift aende sehemu mbali na kwao eti ni kwa kaka yake anaenda kulala. Machale yakanicheza, nkakataa kumpeleka.

Siku ya pili asubuhi na mapema nikampigia simu akaniambia hataki urafiki na mm. nikapigwa na butwaa. nkachombeza wee mara ukipiga cm anapokea dume n.k. mwishowe akanipigia yy akaniambia kama nataka tuwe wapenzi kwanza nimnunulie simu halafu nimpe na pesa laki 2, bila ya hivyo nisimsumbue.

kilichofuata ikawa daily anataka vitu vyake na mie namzungusha. Mwisho akaniambia anavunja urafiki na nisimpigie simu tena. nkamjibu sawa na sikumpigia tena.

cha ajabu yy sasa ndo kila mara ananipigia cmu na mm cpokei najifanya kama czioni cm zake.
my take: wadada kama hawa dawa yao ni kuwapotezea while you can, ukiwangangania utaishiwa kuchunwa na kutupwa jalalani muda wako ukiexpire
 
Pole sana jaman,ila huyo hajawah kukupenda kakangu tupa kule hakuwa wako huyo tupa kule muombe Mungu akupe wako wa ukwee,ndo wadada wa mujini ila jiandae kuombwa msamaha akipatwa na lakumpata huko aliko
 
sizani kama nitapenda tena na sikujitakia kupenda mapenz ni hisia na hisia huwez kuzizuia...
endelea na kitabu bro.... atakutafuta tuu huyooo.....ila lazima kuna mtu alikuwa anamla.....hata huyo bwanake wa awali alishamla....alinyimwa pesa na akakuona una kazi mweee.....siku zote nyani hupenda mti wenye matunda...pole mangi....
 
Back
Top Bottom