Sitaki kupenda tena.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitaki kupenda tena..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sumu, Aug 16, 2012.

 1. S

  Sumu JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,225
  Likes Received: 3,204
  Trophy Points: 280
  Sitaki kupenda tenaaa...
  Nampenz wangu ambaye nilitokea kumpenda sana tena zaid ya sana na mapenz yetu yalianza kama hivi,Nilipo kuwa secondary niliamua kuomba niende mkoa kilmnjr..kwa mara yakwanza kumsalimia bibi ndipo pita pita zangu nikakutana na mpenz wangu ambaye yeye ndiyo kwao nilitokea kumpenda sana na nikamtongoza bt jibu lake aliniambia anampenz natulipotezana mm nilirudi Dar yeye akabaki..
  Miaka ikaenda nakwakusema ukweli tokea nilivyo kuwa mdogo nilipenda kazi mbili ya uwanajeshi na upradi so kama unavyo jua upradi hauruhusu mahusiano wakimapenz hivyo basi mpenz wangu alikuwa msichana ambaye niwakwanza kusikia hamuyakufanya mapenz naye.Nilibaatika kusoma chuo na kumaliza na kwavile najuana na watu nikapata kazi kwenye taasisi moja la habari kubwa linaandika habari za siasa maisha yakaendelea kwangu kuwa yafuraha na amani..
  Miaka kama minne iliyopita mpenz wangu akaamia karibu na hom Dar alikuwa anakaa kwakaka yake alipanga nilipo muona nilifurah sana nakukumbushana mambo yamkoani nilipo mgusia kama msimamo wake umebadilika akaniambia bado basi tukawa marafiki wakushauriana vitu kama mambo ya masomo yeye alikuwa anarudia mtihani wa form4...
  Kunasiku moja akanipigia simu nakuniambia anamaongezi na mm kwavile alikuwa na Best nilienda kumsikiliza akaniambia amemfumania mpenz wake live na mwanamke mwingine gest nilimfariji nakumpa maneno yafaraja kama frnd yangu maamuzi yake yalikuwa kuachana nampenz wake na nakatika maongez yake jamaa yake hajawahi kula tunda na yeye nibikira ndiyo sababu ya yeyejamaa yake kutoka na msichana mwingine kimapenz na alikuwa mtu wawapenz weng kama unavyo jua yeye alimchukulia kama dem wakuzugia tu!!.
  ikapita kama miez mi5 hivi akaniambia anamaongezi na mm katika uonana naye akaniambia amenikubalia ombi langu na amekaa nakufikili sana ameona mimi nafaa kuwa mpenz wake mpya kwa vigezo vingi cha kwanza mpaka mda huo nilikuwa sina mpenz na mm nikamkubalia naakawa mpenz wangu wakwanza maisha yakaendelea...
  mpenz wangu alikuwa anasoma chuo kimoja kikubwa tu!na ada alikuwa analipiwa kidogo kidogo mzaz wake alikuwa hanauwezo basi nikaamua kuwa namsaidia hela yakulipa chuo naatakayo pewa na mzaz wake iweyakujikimu nanikawa na majukumu kama nimeoa vile na chakushangaza katika mapenz yetu sijawahi hata kumkiss ukitaka kufanya hivyo anabadilika na mnaweza kugombana nami nikaamua kuwa mpole kwa vile nampenda tumedumu katika mapenz huu mwaka wa pili bila sex wala kiss..
  anatabia yakugombana gombana hadi kufikia hatua ya kuvunja uhusiano hasa usipompa kitu alicho kuomba umnunuliye nimevumilia natabia hiyo kwa vile nilikuwa nafanya kazi na niliona nimoja yamajukumu ya mpenz...
  Sahivi nimeamua kujiendeleza kielimu nakwavile masomo yanaanza hasubui nikaamua kuacha kazi so sina hela juz anataka nimnunu liyeblackberry{BB} hela sina na akiniomba hela hata ya vocha sina basi ameamua kuniandikia hivi 'NAOMBA MAPENZ YETU YAISHIYE HAPA SITAKI MASWALI WALA USUMBUFU WAKUPIGA SIMU'
  nimejaribu kumpigia simu hapokei n txt hajibu Daah!Kweli Mapenz hayana mradi Poleni kwa kukuchosa niayangu nikukuelimisha yasije yakakutokea yaliyo nitokea mm coz sijaambulia hata kiss na nilitumika sana...
  NB:KAMA HUNA MALENGO NA MTU ULIYEKUWA NAYE KWENYE UHUSIANO NIBORA UKAMWAMBIA KULIKO KUCHEZEA HISIA ZAMTU.
   
 2. felinda

  felinda JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 351
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  dah pole sana ndio mapenzi yacku hizi pesa mbele,,,
  Mungu alituumbia kusahau hope one day utamsahau na utampenda akupendaye,,
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  pole sasa umekua kimapenzi.
   
 4. Root

  Root JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,218
  Likes Received: 12,928
  Trophy Points: 280
  heheheheheheheheheeh mbona utapenda tu kwani ulijitakia kupenda? its un involuntary action hutokea tu ndio maana hata mtu akikufanyia kitu it takes time to forget
   
 5. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  pole mwaya!!! najua moyo wako umepararise kimapenzi but one day utampata atakaekupenda nawe ukampenda!!! nadhani unaamini kwamba yupo wako wa maisha so ukiona hayo yanatokea ujue huyo sie mtu sahihi for you! yani aliyeumbwa kwa ajili yako!
   
 6. S

  Sumu JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,225
  Likes Received: 3,204
  Trophy Points: 280
  Khasante sana,sizani kama nitaweza kumsahau na pesa haina nafasi kubwa katika mapenz ya ukweli@felinda
   
 7. S

  Sumu JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,225
  Likes Received: 3,204
  Trophy Points: 280
  Khasante Kweli nimekuwa@Kongosho.
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Pole sana lakini kakufunza watu wa kuwalipia ada! Now umekuwa mkubwa umejua hana mapenzi nawewe bali pesa zako!

  Usijali utapata atakaye kupenda kwa dhati najua umeumia hiyo ni kawaida na utasahau na kupenda tena!
   
 9. S

  Sumu JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,225
  Likes Received: 3,204
  Trophy Points: 280
  sizani kama nitapenda tena na sikujitakia kupenda mapenz ni hisia na hisia huwez kuzizuia...
   
 10. S

  Sumu JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,225
  Likes Received: 3,204
  Trophy Points: 280
  Khasante sana nazani yeye nichaguo la mungu coz nilivyokutana naye nikama mungu alipanga@princess
   
 11. S

  Sumu JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,225
  Likes Received: 3,204
  Trophy Points: 280
  Khasante kwakunipa maneno ya faraja@ruttashobolwa.
   
 12. Root

  Root JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,218
  Likes Received: 12,928
  Trophy Points: 280
  Mbona tayri umejibu kaka kama mapenzi ni hisia na hizo hisia huwezi zizuia so unauhakika upi kama hizo hisia hazita kuja kukufanya upende tena?
   
 13. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  tatizo waschana wengi sio wakweli na hatujui inauma kiasi gani kumtenda mwenzako au kumpotezea mtu muda wake!!wanajal maslah but wakitendwa wao!! hutamani hata kujinyonga!!!
   
 14. Jerry de Marco

  Jerry de Marco JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Daaaaaaaa bro pole kwa hilo,but never giv up
   
 15. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  pole sana kaka ila kiukweli kabisa huyu hakuwa wako na ulikuwa darasani sasa umehitimu hivyo apply kwnlg yako vyema.
   
 16. M

  Maswalala Senior Member

  #16
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thubutuuu!!!!...nani kakuambia hutopenda tena labda uwe umeondolewa kakikojoleo...
   
 17. Anne Maria

  Anne Maria JF-Expert Member

  #17
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wewe hilo ni daraja la kwanza umelipitia yanaweza yakaja hata mengine ma 5 mbeleni yote yakiwa ni mapito tuu na still ukaendelea kupenda,, sasa hivi unasema hivyo bcoz una maumivu makali moyoni bado,, sali Mungu akusaidie usahau na nina hakika utasonga mbele tuu... pole sana kwa yaliyokupata. i know what u are going thru...
   
 18. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Grudges are a waste of perfect happiness.
  Laugh when you can,
  apologize when you should,
  and let go of what you can�t change.


  lakin pia
  Anything that happens is for a good reason
  & Anything that doesnt happen is only for very good reason
  Trust these words U'll love ur life.

  pole sana Allah akupe faraja
   
 19. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #19
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Una miaka mingapi ndugu?
   
 20. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #20
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,577
  Likes Received: 924
  Trophy Points: 280
  I just wanted to ask him that.
  Maelezo, mpangilio wa maelezo...mmh!
   
Loading...