Sitaki kupenda tena sana

Mtenda hutendwa, pole sn inauma lakin hayo yote hayana budi kutokea ili ujifunze kua katk kupenda usiingize miguu yote kwa pamoja
 


Saivi wasichana nawaogopa

You should've, toka zamani. Probability za mahusiano kuvunjika ni kubwa sana kwa hiyo ni kitu unatakiwa kukiweka kwenye mipango kazi. Pia unavyojisikia ndivyo idadi ya wasichana kadhaa uliowahi kuwaacha wanavyojisikia.

Kama basi mahusiano ya siku hizi kuachana ni kawaida. Na kuachana lazima at least mmoja anakuwa hajajiandaa.

Ukichukulia na namba ya watu wenye mahusiano humu. Ni jambo la wazi kuwa hayo ndo maisha ya kila siku ya watu.
It really isn't worth a thread
 

miaka miwili unatongoza!? Hapo mzee ulilazimisha kupendwa, piga moyo konde...songa mbele!! ila usirudie kosa la kung'ang'ana na usipopendwa!!
 
Total momentum b4 iz equal to the total momentum after..... Uswazeee hii ni kama cycle nayeye atajaumizwa atakukumbuka sna weweapoo
 
Kweli mtenda husahau na akitendwa hudhani ameonewa. Umesema uliwatenda wengine kumbuka nao waliumia tena zaidi ya ulivyoumizwa. Tubu tu na wala usijihesabie haki kt hili, muombe Mungu kupe wa kukufaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…